Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,714
- 128,398
Hahaaa. Kibao kungemuhusu aiseee.Kuna jamaa alinogewa na kujisahau anamwambia mwenye simu acha hiyo hiyo video naipenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mana huo ni zaidi umbea
Hahaaa. Kibao kungemuhusu aiseee.Kuna jamaa alinogewa na kujisahau anamwambia mwenye simu acha hiyo hiyo video naipenda
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mpiga chabo [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe wa kuihujumu nchi. Kwani sababu hasa ya kuificha simu huwa ni nini?
Hahahahahahahahaaaaaaa.Walio wengi unakuta hata hajui unachokifanya ila atakodolea macho huyo mpaka unajiuliza ni nini hiki.
Ila sio tabia nzuri mkuu. Ndio mana napenda nikae siti ya mwisho kabisa mana hainaga wapiga chabo labda wale wa pembeni japokuwa mnaweza jikuta wote mko busy na simu.
Ahsante mdogo wangu.Hahahahahahahahaaaaaaa.
Pole sana dada yangu.
Mimi akianza kuangalia nafungulia uzi mzuri wa MMU, halafu tunaanza kupambana na shida ya foleni plus joto
UPO na simu unajamiiana?Hakuna kitu kinachonikera mtu upo na simu unajamiiana halafu jitu linachungulia unachoandika na wakati mwingine linaweza likakusahihisha eti hapo umekosea kuandika.
Japo ni ngumu sana kuzuia hilo hasa unakuta wewe umekaa waliosimama lazima waone unachofanya kwenye simu.
Kikubwa tukitaka faragha zetu ziheshimiwe tuache kutumia simu ndani ya daladala pasipo kuwa na ulazima wowote.
Jumapili njema.
HahahahahahahahahahaaaaaaaaAhsante mdogo wangu.
Ila uwe makini hao hawakawii kuanzisha uzi nimemuona mwifwa kwenye daladala ni kibonge nyanya huyo. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahahahahahahahaaaaaaaa
Tafadhali dada yangu inatoshaaaa.
Leo nipo mbali na MOI halafu Ambulance nako ni wikiend leo
UPO na simu unajamiiana?
sent from kanyau
Sawa.Hahaaaaa. Aiseee.
Pole sana wacha niishie hapo mdogo wangu. [emoji2]
Kama hivyo sawa. Ila mi siwezi mdogo wangu nikiona mtu anachungulia tu huwa sina hamu tena ya kutumia simu zaidi ya kuiweka kwenye pochi.Sawa.
Ila mimi siachi kufungulia simu hata iweje, kikubwa nahakikisha hawezi kuitambua ID
Bora ivoo.Kama hivyo sawa. Ila mi siwezi mdogo wangu nikiona mtu anachungulia tu huwa sina hamu tena ya kutumia simu zaidi ya kuiweka kwenye pochi.
Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe wa kuihujumu nchi. Kwani sababu hasa ya kuificha simu huwa ni nini?