Hii thread isipopata wachangiaji naapa kujitoa JF na wala hamtaniona tena.
Miezi 8.5 Post 3774? JF imekuwa Office yako? je ukitimiza 12 month utakuwa na post ngapi? nataka kujua kwa siku, week na mwezi una post ngapi?
Na vilevile ulikuwa unatumiwa na Magamba ulipoanza kuingia hapa Jf sasa vipi uhusiano wako na Nape? Na ni kitu gani kilichokufanya ukaasi kwenye genge la Magamba?
Ni hayo tu maswali ya yangu kwa leo Kijana
Nimekuelewa kuwa unamaanisha nimepost vitu vingi ukilinganisha muda niliokuwepo JF kitu kinachokupa wasiwasi kuwa sina kingine cha kufanya zaidi ya kuingia JF siyo? Sidhani kama swali lako lina mantiki (na) hasa ukinilanganisha na watu kama FF, AshaDii.
Swali lako la pili sijaelewa unauliza uhusiano wangu na Nape wa kiitikadi au wa ki-undugu?
Ukiulizwa unielezee japo kwa maneno matano utasema nini? Mtazamo wako uzingatie kipindi hiki cha miezi 8.5 ambacho nimekuwa ndani ya JF. Lakini hata kwa wale tunaofanya nao ofisi moja nao pia wana uhuru wa kutoa maoni yao juu yangu.
Mimi nakuchukulia kama Zinduna anavyowachukulia wanaume.Ukiulizwa unielezee japo kwa maneno matano utasema nini? Mtazamo wako uzingatie kipindi hiki cha miezi 8.5 ambacho nimekuwa ndani ya JF. Lakini hata kwa wale tunaofanya nao ofisi moja nao pia wana uhuru wa kutoa maoni yao juu yangu.
An intriguing member, vigumu sana kukuelewa.
But you seem honest to me, which is rare in JF.
I smile every time I read you, even when you are mean to me.
Ukiulizwa unielezee japo kwa maneno matano utasema nini? Mtazamo wako uzingatie kipindi hiki cha miezi 8.5 ambacho nimekuwa ndani ya JF. Lakini hata kwa wale tunaofanya nao ofisi moja nao pia wana uhuru wa kutoa maoni yao juu yangu.
Frankly speaking..mwita my brother we mmbea..... (Hii comment ilikua niandike kuleee kwa thread ya malalamiko ya Lizzy bahati mbaya RR ameifunga)
yani umenikwaza!! am very revengeful nakutaftia siku saa na tarehe ila sijajua itakua ni lini...(Ni mtazamo wangu huu juu yako)
ukiulizwa unielezee japo kwa maneno matano utasema nini? Mtazamo wako uzingatie kipindi hiki cha miezi 8.5 ambacho nimekuwa ndani ya jf. Lakini hata kwa wale tunaofanya nao ofisi moja nao pia wana uhuru wa kutoa maoni yao juu yangu.