SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Watalii hawapo maporiniKuzunguka kwake huko maporini na kwenye hifadhi sijui kunaongeza vipi watalii.
Watalii hawapo maporiniKuzunguka kwake huko maporini na kwenye hifadhi sijui kunaongeza vipi watalii.
hhahahahhahahahaAkifanywa kama Lameki je ataendelea kutembea na kifimbo!?
Akikaa ofisi...maneno akienda field maneno...!!? Vipi ninyi !?
Nimeisha pata sababu nikipewa nafasi ya kuongoza...mimi washauri wangu wakuu watakuwa ni vitabu vya miiko ya uongozi, majukumu ya kiuongozi kulingana na kazi nitayopewa, kanuni taratibu, ilani ya Chama kitakachokuwa madarakani, sera, mipango ya serikali ya muda mrefu na muda mfupi, sheria za nchi, na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Kitabu kitukufu cha Imani yangu baaasi!!!. Yaani sisikilizi cha mtu labda wale tu watu maalumu kwa ajiri ya kunishauri tena kwenye utaratibu maalumu. Yaani baadhi ya watanzania (kama siyo wapinzani wetu wa kimaendeleo wa ndani na nje ya nchi), mnachosha.
Hapa kazi tu achana na kelele za churaHuyu jamaa ni muda wa mwezi sasa, kila siku kwenye taarifa ya habari ni ziara zake katika hifadhi na mapori mbalimbali huku akiwa katika magwanda ya maliasili.
Ni wakati sasa wa kumpa credit zake, japo nae kazidisha sana makamera.
Huyu hapa yupo simiyu leoHuyu jamaa ni muda wa mwezi sasa, kila siku kwenye taarifa ya habari ni ziara zake katika hifadhi na mapori mbalimbali huku akiwa katika magwanda ya maliasili.
Ni wakati sasa wa kumpa credit zake, japo nae kazidisha sana makamera.
Huyu jamaa ni muda wa mwezi sasa, kila siku kwenye taarifa ya habari ni ziara zake katika hifadhi na mapori mbalimbali huku akiwa katika magwanda ya maliasili.
Ni wakati sasa wa kumpa credit zake, japo nae kazidisha sana makamera.
Tarime Mkurungezi anagoma kuapisha mawakala wa Chadema. Inasikitisha uhuni huu unaoendelea kwenye nchi.Usishangae akimaliza hizo ziara zake anakuja kutumbuliwa kisa anazunguka na kula misele tuu huku "MBWA" wa polisi wakipotea na waziri anaanza kusumbuka kumtafuta huku yeye wa maliasili anatalii!