Mnamuona Hamisi Kigwangalla anavyozunguka huko maporini?

Mnamuona Hamisi Kigwangalla anavyozunguka huko maporini?

Ila hizo ziara lazima tuzione kwenye vimwekumweku,na kama nikienda ofisini kutaka kuonana na mheshimiwa waziri secretary atatwambia mheshimiwa yupo maporini kwa mwezi sasa,na sijui atarudi lini?basi nae kwani hana naibu au wakurugenzi si lazima akague mapori yote yeye.
 
Hii tumbua tumbua ya juzi ni kama imewastua mawaziri waoga wa maisha na kujipendekeza. Sasa hivi kila siku ni Mbarawa, Lugola, Kigwangwala na Ummy mwalimu. Naona wanatembea na waandishi wa habari kabisa ili kumhadaa mkulu wanafanya kazi.
 
Credit ya nini na wakati ni kazi yake? Masifa ni kwasababu ya kutaka urais basi tu. Waafrika hatuna tabia ya kutenda wema na kwena zetu bila kungoja shukrani.

Kama aliingia kwenye siasa ili kuwatumikia wananchi then hana haja ya credit, matokeo ya kazi zake yakionekana, basi atapewa credits bila kuuliza.
 
Huyu jamaa ni muda wa mwezi sasa, kila siku kwenye taarifa ya habari ni ziara zake katika hifadhi na mapori mbalimbali huku akiwa katika magwanda ya maliasili.
Ni wakati sasa wa kumpa credit zake, japo nae kazidisha sana makamera.
Mkuu hapo anakula maPerdiem ya kufa mtu,pia anatafuta fursa 10% kwenye madeal ya huko na yeye awe included si unajua mambo ys isisemu,chukua chako mapema.
 
Back
Top Bottom