Akikaa ofisi...maneno akienda field maneno...!!? Vipi ninyi !?
Nimeisha pata sababu nikipewa nafasi ya kuongoza...mimi washauri wangu wakuu watakuwa ni vitabu vya miiko ya uongozi, majukumu ya kiuongozi kulingana na kazi nitayopewa, kanuni taratibu, ilani ya Chama kitakachokuwa madarakani, sera, mipango ya serikali ya muda mrefu na muda mfupi, sheria za nchi, na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Kitabu kitukufu cha Imani yangu baaasi!!!. Yaani sisikilizi cha mtu labda wale tu watu maalumu kwa ajiri ya kunishauri tena kwenye utaratibu maalumu. Yaani baadhi ya watanzania (kama siyo wapinzani wetu wa kimaendeleo wa ndani na nje ya nchi), mnachosha.