econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 22,138
- 32,715
Mtu yeyote ukimuuliza alipo Hitler atasema yupo Motoni. Lakini unaweza kukuta Jamaa ametulizana sehemu makini tu.
Wauaji wanakaa sehemu salama tangu lini? Ndio maana naye kaamua kujiua.
Mtu yeyote ukimuuliza alipo Hitler atasema yupo Motoni. Lakini unaweza kukuta Jamaa ametulizana sehemu makini tu.
Kwa TZ ukimtoa Jiwe hakuna kiongozi mwenye sura ya mamlaka na ya kiume kama huyo.
The man aliyeiheshimisha Ujerumani na akafa kishujaa. The man aliyefanya Ujerumani pekee iitwe He badala ya She.
Ktaa kubali! Hata sura yako inabeba maono ya kusudio lako duniani, sura ya Hitler inajieleza na inaeleza wito wake. Naishia hapo.View attachment 2173168
Sura sio tabia.
Kangi lugola na sura yake ile akawa mpambe tu, na utu uzima ule akakata mauno mbele ya kadamnasi.
Usikalili ohooo.
Sura ya kiume mpaka hakuona umuhimu wa mke bali mwanaume mwenzie!! Upuuzi mtupu!Kwa TZ ukimtoa Jiwe hakuna kiongozi mwenye sura ya mamlaka na ya kiume kama huyo.
The man aliyeiheshimisha Ujerumani na akafa kishujaa. The man aliyefanya Ujerumani pekee iitwe He badala ya She.
Ktaa kubali! Hata sura yako inabeba maono ya kusudio lako duniani, sura ya Hitler inajieleza na inaeleza wito wake. Naishia hapo.View attachment 2173168
Hahahahaha mods wanatakiwa wai bold hii comment! Kwamba mwamba ame chill sehemu flan hivi amazing anakula upepo au sio?!Mtu yeyote ukimuuliza alipo Hitler atasema yupo Motoni. Lakini unaweza kukuta Jamaa ametulizana sehemu makini tu.
HuelewekiThe Fuerher alikuwa butcher bana.SS na Gestapo zirirara mbere na wengi sana.Gypsies,Roma,Jews,wacommunist na wakosoaji Kwa ujumla.
HahaSupika alie jibua
Huyo ndiye mwanamke, na nitamletea uzi humu. Anakubali kufa na mumewe, ndio ile maana ya '..kwenye shida na raha..', sio hawa njaa njaa wa BongoView attachment 2180882his beautiful wife Eva Braun, they both killed themselves the day after their wedding!

Afadhar nyooka, si yule hasira mmmmh km zombie.Hivi kwa Tz kuna mtu mwenye sura mbaya zaidi ya P na nda?

Hahahah tunaongelea sura ya kimamlakaNyerere pia alikuwa na vimustachi twa hivyo
Huyo sio sana japo naye ana makali yake, ila ana sura ya kawaida, si kama ya mwamba Hitler.Unamzungiaje uyu mwambaView attachment 2181027

Huna ujualoWauaji wanakaa sehemu salama tangu lini? Ndio maana naye kaamua kujiua.
Tunaangalia impact aliyoleta kwa Ujerumani, na sio mwisho wake. Hope umeelewa. Mwisho wake kuwa mbaya au mzuri haikuhusu wewe.Sema mwisho wake ulikuwa mbaya. Halafu mamlaka hayaangalii sura Bali nafasi uliyonayo.
Alioa mke, acha kudanganywa na propaganda za magharibiSura ya kiume mpaka hakuona umuhimu wa mke bali mwanaume mwenzie!! Upuuzi mtupu!
😆😆😆Huyo ndiye mwanamke, na nitamletea uzi humu. Anakubali kufa na mumewe, ndio ile maana ya '..kwenye shida na raha..', sio hawa njaa njaa wa Bongo![]()
Propaganda za magharibi, kwani Hitler alikuwa wa wapi? Kuoa ni jambo moja, ila kuonekana hata faragha na mwanaume mwenzie ni jingine.Alioa mke, acha kudanganywa na propaganda za magharibi
Wacha ujingaKwa TZ ukimtoa Jiwe hakuna kiongozi mwenye sura ya mamlaka na ya kiume kama huyo.