Itasikitisha sana kama hii comment itakuwa ya kweli..Mchumba tu huyo...
Au ndugai😂😂
Ila anafaa kuwa mzee wa kanisaa
Mpe mq#nd# huo aufyatue ili ujue km ni mchumba au laMchumba tu huyo...
Hahahaha mimi hata Putin ni shujaaKufa kishujaa ni kufaje?.
Mkuu kuna haja ya kumuona doctor haraka. Mara nyingi watu wenye kuwafikiria watu kama Hitler kama mashujaa huwa wanafanya mambo ya ajabu kama sio kujiua basi kipo kitu utafanya kitakupeleka jera ya milele
Ni kweli si uongoNasikia ukisimama vibaya kwenye gwaride alikuwa ananyoosha mstari na bastora
Hahahaha nani huyo Ndoo Guy au?Ila anafaa kuwa mzee wa kanisaa
Amefanya vizuri sana kuufurahia. Naye ni shujaa na kafa kishujaa pia. Sina upendeleo kwenye kuwapa credits wanaostahili
Jamaa ana sura ngumu sanaKijana Adolph mbabe wa Wayahudi na malaika wa Walutheri (Wajerumani).
Kwa TZ ukimtoa Jiwe hakuna kiongozi mwenye sura ya mamlaka na ya kiume kama huyo.
The man aliyeiheshimisha Ujerumani na akafa kishujaa. The man aliyefanya Ujerumani pekee iitwe He badala ya She.
Ktaa kubali! Hata sura yako inabeba maono ya kusudio lako duniani, sura ya Hitler inajieleza na inaeleza wito wake. Naishia hapo.View attachment 2173168
Jamaa ana sura ya kimamlaka sanaSura sio tabia.
Kangi lugola na sura yake ile akawa mpambe tu, na utu uzima ule akakata mauno mbele ya kadamnasi.
Usikalili ohooo.