Mnamfahamu huyu?

Mnamfahamu huyu?

Mtu yeyote ukimuuliza alipo Hitler atasema yupo Motoni. Lakini unaweza kukuta Jamaa ametulizana sehemu makini tu.
 
Kwa TZ ukimtoa Jiwe hakuna kiongozi mwenye sura ya mamlaka na ya kiume kama huyo.

The man aliyeiheshimisha Ujerumani na akafa kishujaa. The man aliyefanya Ujerumani pekee iitwe He badala ya She.

Ktaa kubali! Hata sura yako inabeba maono ya kusudio lako duniani, sura ya Hitler inajieleza na inaeleza wito wake. Naishia hapo.View attachment 2173168
The Fuerher alikuwa butcher bana.SS na Gestapo zirirara mbere na wengi sana.Gypsies,Roma,Jews,wacommunist na wakosoaji Kwa ujumla.
 
gettyimages-541075377.jpg
his beautiful wife Eva Braun, they both killed themselves the day after their wedding!
 
Kwa TZ ukimtoa Jiwe hakuna kiongozi mwenye sura ya mamlaka na ya kiume kama huyo.

The man aliyeiheshimisha Ujerumani na akafa kishujaa. The man aliyefanya Ujerumani pekee iitwe He badala ya She.

Ktaa kubali! Hata sura yako inabeba maono ya kusudio lako duniani, sura ya Hitler inajieleza na inaeleza wito wake. Naishia hapo.View attachment 2173168
Nyerere pia alikuwa na vimustachi twa hivyo
 
Back
Top Bottom