mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
- Thread starter
- #81
Narudia,,acha propaganda za kimagharibiPropaganda za magharibi, kwani Hitler alikuwa wa wapi? Kuoa ni jambo moja, ila kuonekana hata faragha na mwanaume mwenzie ni jingine.

