Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Wakulungwa tumeshaelewa nini kimeshatokea maana formula ni ile ile. Hatukai na mademu wasumbufu. Yaani me unizungushe penzi miezi mwaka halafu unigande wa kazi gani.....

Hiyo ilikuwa zamani. Msumbue mwanaume ukijijua ni bikra ila kama si bikra then unazungusha ya kazi gani. Si ni bora umwambie tu mtu kuwa haiwezekani apambane na mambo mengine kuliko kumpigisha chenga za kitoto.


Me ukinikata stimu na story za mapozi nakupotezea hapo hapo nakuacha upambane na hali yako.
Naam wahuni ndo tulivo ....no time to waste
 
Binadamu tuna hali ya kupenda kutafta vile vinavyo fichwa tu.
Mm sijaoa ila nilipokuwa na mahusiano nikionana na bby wangu akishika sim tu hapo hapo na mwambia password zote za kila sehemu panapoitaji password kupaaccess.

Tukiwazui kushika sim zetu ndio tutawatengenezea hofu zaid
 
Binadamu tuna hali ya kupenda kutafta vile vinavyo fichwa tu.
Mm sijaoa ila nilipokuwa na mahusiano nikionana na bby wangu akishika sim tu hapo hapo na mwambia password zote za kila sehemu panapoitaji password kupaaccess.

Tukiwazui kushika sim zetu ndio tutawatengenezea hofu zaid
Ndo maana nkasema huwa mnatoa simu km kichaka ili muaminike msifwatiliwee
 
Mwache ashike kwani atagundua nini! Simu inayotumiwa na michepuko huwa zinaachwa ofisini
 
Inashikwaje na mtu sasa...hata wife aache bwana
Akija kutana na heka heka za ma j atamlaumu nani wakat sim si yake
Zaman baada ya ule msala alinifuatilia kwa umakini Sana, nikamtumia mamluki wakamuaminishe kua tushaachana. Mamluki wakafanya kazi yao vyema sana.

Kwaiyo mpk sasahv
Anajua tushaachana Hana wasiwsi kabisa na Simu yangu
 
Acha kulazimiSha kua na huyo chalii ulishapigwa mkuyenge na hakukuoa umepatwa na sonona mpaka umekuja kuandika

mwache mwenzako amlinde bwana ake dhidi ya majakololo kama wewe
teh teh teh!
Write your reply...
 
Back
Top Bottom