Alijua Mume wake kanifuma na akawa na mashaka

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Ni mwanamke mmoja hapa karibu na mazingira ninayo fanyia kazi ni kwa muda sana alijaribu kujisogeza karibu na mimi ila kwa kuwa ndugu yenu sina dhiki na wanawake hivyo sikumpa time yangu sana.

Alitengeneza ukaribu ambao ilifika hatua akaanza kuniambia habari za mume wake kuwa anamtesa hampi mambo vizuri hivyo akawa anaona mimi ndio nitatatua hiyo shida.

Huyu ni mwanamke kutoka mbeya huko ni mwanamke flani kapanda hewani na shepu yake matata japo analificha na sana kama mjuavyo wanawake wa kinyaki. Kikubwa zaidi ameokoka ile mbaya .

Basi kidogo nimuonee huruma kwa kilio chake na shida anayo ipitia....maana aliniomba sana nimle na alikua tayari kulipia gharama zote kama itakua pesa ni tatizo hivyo ndugu yenu utajiri wa mbususu ndio uliniokoa nisiwe na tamaa na wake za watu .

Hivyo siku ya siku zikaja habari hapa mtaani kuwa amefumaniwa na wanaume watatu tofauti na mimi na kesi ipo kwa mchungaji tayari na kweli bwana ake alifanya sana doria hapa ofisin kwake kukagua root za mkewe.

Wakati huo bi mdada alikua hajui ni wanaume gani walio fumaniwa hivyo alijua na mm nipo kwenye list ya wanaume walio kamatwa hivyo baada ya balaa kupoa akanifata na kuniomba msamaha kwa yalio tokea na kuomba tuendelee....ndugu zangu nilishindwa kujizuia nilicheka sana mbele yake hadi mbavu ziliuma.

Yaani mke wa mtu kafumwa na wanaume watatu tofauti hao ni active na mimi ninge ingia kwenye 18 zake ningekua wa nne. Nikamuambia kuna watu mnapenda matatizo hatari yaani wanaume wote hao hawakutoshi hadi na mimi unataka kuniongeza akasema yupo tayari kuachana na wote ili awe na mimi tu .

Nikamuambia tu ndugu yangu nataka kuuanza huu mwaka salama nipunguzie matatizo ..... ila hajaacha kunisumbua.

....ukimcheki ni mwanamke mpole..anajisitiri vizuri ...anapendeza ...ameokoka na anavyeo kanisani kwao...kifupi ningekua masikini wa mbususu ningepita nae sio kwa ile shepu na tako lake la kunesanesa lenye Dimpoz kwa pembeni.

NB
Wanaume tuinvest kwa hawa wanawake kwa akili sana vinginevyo ni hatari kwetu na muda wetu.
 
Vizuri

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Actually,
ukijua ladha ya kimwili na kiroho ya mwenzi wako kikamilifu, kamwe huwez tamani pengine 🐒
 
Weka zamba zake nimkanye kwa nini atulizi hilo wowowow kwa mumewe
Tena unaambiwa tako lina nesa nesa kama lina "spiringi" mbovu...aaaahhhhh hilo tamu sana kulipapasa papasa halaf unalichapa kakibao "ppaaahhhh". Halaf unakandamizia mkono hapoo unalitikisa tikisa juu chini kulia kushoto😋😋😋...

Sio unakuta katako kamekakamaa kama msumari umenasa kwenye mbao...ogopa sana hii..hata akipiga doggy inakua kama mtu anakupiga ngumi za tumbo 🤪🤪
 
Ni mwanamke mmoja hapa karibu na mazingira ninayo fanyia kazi ni kwa muda sana alijaribu kujisogeza karibu na mimi ila kwa kuwa ndugu yenu sina dhiki na wanawake hivyo sikumpa time yangu sana.

Alitengeneza ukaribu ambao ilifika hatua akaanza kuniambia habari za mume wake kuwa anamtesa hampi mambo vizuri hivyo akawa anaona mimi ndio nitatatua hiyo shida.

Huyu ni mwanamke kutoka mbeya huko ni mwanamke flani kapanda hewani na shepu yake matata japo analificha na sana kama mjuavyo wanawake wa kinyaki. Kikubwa zaidi ameokoka ile mbaya .

Basi kidogo nimuonee huruma kwa kilio chake na shida anayo ipitia....maana aliniomba sana nimle na alikua tayari kulipia gharama zote kama itakua pesa ni tatizo hivyo ndugu yenu utajiri wa mbususu ndio uliniokoa nisiwe na tamaa na wake za watu .

Hivyo siku ya siku zikaja habari hapa mtaani kuwa amefumaniwa na wanaume watatu tofauti na mimi na kesi ipo kwa mchungaji tayari na kweli bwana ake alifanya sana doria hapa ofisin kwake kukagua root za mkewe.

Wakati huo bi mdada alikua hajui ni wanaume gani walio fumaniwa hivyo alijua na mm nipo kwenye list ya wanaume walio kamatwa hivyo baada ya balaa kupoa akanifata na kuniomba msamaha kwa yalio tokea na kuomba tuendelee....ndugu zangu nilishindwa kujizuia nilicheka sana mbele yake hadi mbavu ziliuma.

Yaani mke wa mtu kafumwa na wanaume watatu tofauti hao ni active na mimi ninge ingia kwenye 18 zake ningekua wa nne. Nikamuambia kuna watu mnapenda matatizo hatari yaani wanaume wote hao hawakutoshi hadi na mimi unataka kuniongeza akasema yupo tayari kuachana na wote ili awe na mimi tu .

Nikamuambia tu ndugu yangu nataka kuuanza huu mwaka salama nipunguzie matatizo ..... ila hajaacha kunisumbua.

....ukimcheki ni mwanamke mpole..anajisitiri vizuri ...anapendeza ...ameokoka na anavyeo kanisani kwao...kifupi ningekua masikini wa mbususu ningepita nae sio kwa ile shepu na tako lake la kunesanesa lenye Dimpoz kwa pembeni.

NB
Wanaume tuinvest kwa hawa wanawake kwa akili sana vinginevyo ni hatari kwetu na muda wetu.
Upole ndiyo mbinu za kigaidi Ke huwapiga nazo matukio Me Wapumbavu walio serious sana na K kuwa ni wema kumbe........

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Back
Top Bottom