Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,053
Nakadori anawasalimia sana.

Ninaomba kuuliza swali...hivi wanaume mliooa mbona mnawapa wake zenu simu zenu wazipekue na kufanya mawasiliano?

Kwanini iliitwa simu ya mkononi? Maana yake ni iwe mkononi mwako. Sasa unakuta mwanaume hana sauti wala nguvu yoyote na simu yake.. mda wote iko mkononi mwa mwanamke.

Basi bwana juzi nimemtext kaka mmoja ambaye alitokea kunikubali sanaaaaaaaa kimalove ila hakuwahi kulamba punani yangu. Uchumba wetu ulikuwa ule wa kisabato haswaaa kwamba hugusi mpaka ndoa japo wengine walishanigusa gusa kidogo.

Kifupi yeye ndo aliweza kunizungusha kwenye sehemu mbalimbali za starehe za mji wa Dar hasa maeneo ya beaches na kweli nilikuwa nainjoi hizi bata...

Sasa bahati mbaya au nzuri nikawa nimepata chuo upande mwingine mbali saaana tukapoteana na mimi kwa kuwa sikuweka sahihi (hatukula tunda) sikuwa na cha kumkumbuka kiviiile zaidi ya kumganda mfamasia wangu. Nilipomaliza masomo nikakuta ameshaoa ...basi havikuuma kiviiile ila still akawa ananiganda kwamba lazima ale tunda maana nilimfanyia ndivyo sivyo...(hapa siwez sema kama tunda lililiwa au lah tupaache).

Mara nyingi huwa namtext kiuchokozii chokozi mda mwingi hasa weekend maana anataitiwa hataree na bi mkubwa so huwa nammiss kiaina...ila hajibu...sasa anapokuja badae kupiga anasema hajaona mesej ila simu ilikuwa ineshikwa na bi mkubwa...

Hivyo huenda bi mkubwa atakuwa amesoma mesej na kuifuta na kupotezea....! Huyu nitakuja nimpatie somo kuhusu namna ya kuhendo simu yake (najua wake wa ndoa mtaongea sana kunicrush ila ndo hivyo...acheni simu za wanaume zenu ziwe za wanaume zenu maana mkiendelea mtakufa haraka na maradhi ya moyo).

Sasa na nyie wanaume mlisikia mapenzi ya kweli ni lazima wake zenu wapokee au washike simu zenu? Wachepukaji mkishafuta meseji zote ili muonekane wasafi basi mnawapa simu washike ili muaminike. Wapiii...acheni.

Mnakwama wapiii?

Hebu mkue basi.
 
Alaaaaaah

Punani ikiwasha unamtxt?muache aiseeeh,msaidie kulinda ndoa
 
Nakadori anawasalimia sana.
Ninaomba kuuliza swali...hivi wanaume mliooa mbona mnawapa wake zenu simu zenu wazipekue na kufanya mawasiliano?
Kw
Mimi nabet pale ulipopaacha na hutaki kipazungumzia.

Tunda umempa maana kipindi unamshikisha pembe huyo Jamaa alikuwa hajajanjaruka ila umerudi ukakuta ameoa ameshakijua Cha asubuhi anaamka na BBC jamaa akagundua ufala wake akafanya correction
 
Mimi nabet pale ulipopaacha na hutaki kipazungumzia.

Tunda umempa maana kipindi unamshikisha pembe huyo Jamaa alikuwa hajajanjaruka ila umerudi ikakuta ameoa ameshakijua Cha asubuhi anaamka na BBC jamaa akagundua ufala wake akafanya correction
Hapo paache ndo utamu ulipo hapoo
 
Back
Top Bottom