Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Hakuna njia rahisi ya kupata UKIMWI Kama kutoka na Wake/Waume za Watu. Yaani hiyo ndio njia Bora na rahisi kabisa ya kujipatia UKIMWI.

Tukija kwenye Mada.
Simu mtu unaweza kumpa ili kujenga Imani na uaminifu.
Kwenye ndoa kuna mhimili UPENDO na Mhimili wa pili ni UAMINIFU.

Mwanamke anapewa anachokihitaji ikiwa anavigezo na sifa za mke Mwema, hivyo tunawapa simu ikiwezekana na namba za Siri za account ikiwa wametimiza vigezo na masharti ya Mke Bora ili kujenga Imani Yao kwetu. Kumbuka wanawake hawanaga Imani na waume zao, wao muda wote wanafikiri Sisi wanaume tuna-cheat.

Ndio maana tunawaachia simu au chochote watakacho ili waondoe mashaka
Lakini ni Kwa wanawake wanaojitambua, wapole na wenye upendo uliopitiliza, sio Yale majianamke ambayo hayajiheshimu.

Hivyo huyo mshikaji anampenda Mke wake na kumhitaji zaidi kuliko anavyokupenda na kukuhitaji wewe
 
Back
Top Bottom