Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Kuhusu kushikiwa simu, Mimi kwanza nakubali siwezi kumzuia wife kushikasimi yangu kwa sababu maalumu zifuatazo.

1.Mimi huwa natumia simu ya wife, Natumia internet tu sio kupiga au SMS.
Hi ni kwasababu Mimi Natumia kitochi, internet na Access kwa PC kote Hadi humu JF
Sasa shida inaanza nikiwa nimelala usiku siwezikuamka kwenda kuwasha pc nichungulie mikeka yangu inaendeleaje au nipite humu, wakati pembeni Kuna simu ya wife ipo tu.
Kwa sababu hiyo Mimi kutumia simu yake na yeye anaweza kutumia yangu.

2. Akitoa sababu kutumia kitochi change kuwasha tochi siwezi kumnyima wakati simu yangu ina tochi,
Hapa labda ninunue tochi atakuwa Hana ujanja.
Mfano sikumoja aliniomba simu atumie tochi nikamuambia si uwashe yako akasema yake in mwanga mkali Sana madudu nje yatamfuata Basi nikampa lakini nilijua anaenda kukagua.
Hapa yakimpata ya kumpata basi hana wa kumlaumu
Maana wa kutuliwaza ndio nyie nyie waume zao ndio mliopo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu mnadhambi nasiku utakua na mume nae atafanywa hivo hivo
Hahaha dua la kuku ......malizia mkuu 😇😇😇
 
Nakadori anawasalimia sana.

Ninaomba kuuliza swali...hivi wanaume mliooa mbona mnawapa wake zenu simu zenu wazipekue na kufanya mawasiliano?

Kwanini iliitwa simu ya mkononi? Maana yake ni iwe mkononi mwako. Sasa unakuta mwanaume hana sauti wala nguvu yoyote na simu yake.. mda wote iko mkononi mwa mwanamke.

Basi bwana juzi nimemtext kaka mmoja ambaye alitokea kunikubali sanaaaaaaaa kimalove ila hakuwahi kulamba punani yangu. Uchumba wetu ulikuwa ule wa kisabato haswaaa kwamba hugusi mpaka ndoa japo wengine walishanigusa gusa kidogo.

Kifupi yeye ndo aliweza kunizungusha kwenye sehemu mbalimbali za starehe za mji wa Dar hasa maeneo ya beaches na kweli nilikuwa nainjoi hizi bata...

Sasa bahati mbaya au nzuri nikawa nimepata chuo upande mwingine mbali saaana tukapoteana na mimi kwa kuwa sikuweka sahihi (hatukula tunda) sikuwa na cha kumkumbuka kiviiile zaidi ya kumganda mfamasia wangu. Nilipomaliza masomo nikakuta ameshaoa ...basi havikuuma kiviiile ila still akawa ananiganda kwamba lazima ale tunda maana nilimfanyia ndivyo sivyo...(hapa siwez sema kama tunda lililiwa au lah tupaache).

Mara nyingi huwa namtext kiuchokozii chokozi mda mwingi hasa weekend maana anataitiwa hataree na bi mkubwa so huwa nammiss kiaina...ila hajibu...sasa anapokuja badae kupiga anasema hajaona mesej ila simu ilikuwa ineshikwa na bi mkubwa...

Hivyo huenda bi mkubwa atakuwa amesoma mesej na kuifuta na kupotezea....! Huyu nitakuja nimpatie somo kuhusu namna ya kuhendo simu yake (najua wake wa ndoa mtaongea sana kunicrush ila ndo hivyo...acheni simu za wanaume zenu ziwe za wanaume zenu maana mkiendelea mtakufa haraka na maradhi ya moyo).

Sasa na nyie wanaume mlisikia mapenzi ya kweli ni lazima wake zenu wapokee au washike simu zenu? Wachepukaji mkishafuta meseji zote ili muonekane wasafi basi mnawapa simu washike ili muaminike. Wapiii...acheni.

Mnakwama wapiii?

Hebu mkue basi.
hapa ndo ukisikia kutokuwalewa awanawake ndo hii wewe unasema mke wake asishike simu yake wao siwamefunga ndoa kanisani?? ikimaanisha cha kwake ni cha mke wake na vice versa??? je unhekua wewe ndio umeolewa usingetaka kushika simu ya mume wako??? we umeshajua kaoa una mtex ya nini?? unamdekeza wa nini na huku unajua unamuharibia ndoa mwanamke mwenzio baadae mkitoka hapo mnaanza kusema wanaume wa siku hizi sio waaminifu ..ule msemo wa kusema mwanaume woate ni mbwa basi na mimi nime thibitisha wanawake wa karne hii ni mbwa wa kike pia...move on tafuta mahusiano yako acha kuvunja nyumba ya mtu
 
Yeye kama amejua ameoa why anani entertain ??? Woii ndoa makaratasi tuuu ila mnajua wenyewe mnayofanya. Nime move on muda saaaaaana ila sio adui kwangu.
 
Yeye kama amejua ameoa why anani entertain ??? Woii ndoa makaratasi tuuu ila mnajua wenyewe mnayofanya. Nime move on muda saaaaaana ila sio adui kwangu.
Then why do you play his games?? and get mad for his wife to have his phone move on sis
 
Back
Top Bottom