Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

bwana juzi nimemtext kaka mmoja ambaye alitokea kunikubali sanaaaaaaaa kimalove ila hakuwahi kulamba punani yangu. Uchumba wetu ulikuwa ule wa kisabato haswaaa kwamba hugusi mpaka ndoa japo wengine walishanigusa gusa kidogo

MI NIMEELEWA HAPO JUU TU 👆👆👆👆
 
Kila mwanaume ana haka kamwanamke alikokapendaga kweli akakagharamia kisabato bila Kula tunda afu badae inakuwaga hivihivi🤠🤠🤠🤠🌝
 
Binafsi
Simu yangu mke wangu kuishika ruksa, ni vile tu naona imani yake kwangu kubwa haigusi gusi hovyo labda awe na shida ya muhimu, mimi na mke wangu hakuna limitations kwenye simu zetu, yake iliharibika, nimempa ya kwangu, so natumia kiswaswadu, hivyo JamiiForums na huduma chache natumia simu yake. Mke wangu ni sehemu ya mwili wangu, hakuna kufichana, nikiwa nina deni atajua, nimetusua sehemu ajue, huku kuficha ficha ndio unatengeneza ufa, watu tumetofautiana binafsi nilipoamua kuoa, nikaacha mambo yoote ya kiduwanzi, hivyo simu yangu kuwa wazi kwake naona ni hatua njema kuzidi kujilinda na vishawishi, maana uwongo mbaya kuna kipindi "akili za nyege" zinataka utende jambo, ukizembea utatenda kweli. 😂
 
Kila mwanaume ana haka kamwanamke alikokapendaga kweli akakagharamia kisabato bila Kula tunda afu badae inakuwaga hivihivi🤠🤠🤠🤠🌝
Mimi haikunikuta hii, ilikuwa ukiingia anga zangu lazima unyonyolewe manyoya.. 😂
 
Nakadori anawasalimia sana.

Ninaomba kuuliza swali...hivi wanaume mliooa mbona mnawapa wake zenu simu zenu wazipekue na kufanya mawasiliano?

Kwanini iliitwa simu ya mkononi? Maana yake ni iwe mkononi mwako. Sasa unakuta mwanaume hana sauti wala nguvu yoyote na simu yake.. mda wote iko mkononi mwa mwanamke.

Basi bwana juzi nimemtext kaka mmoja ambaye alitokea kunikubali sanaaaaaaaa kimalove ila hakuwahi kulamba punani yangu. Uchumba wetu ulikuwa ule wa kisabato haswaaa kwamba hugusi mpaka ndoa japo wengine walishanigusa gusa kidogo.

Kifupi yeye ndo aliweza kunizungusha kwenye sehemu mbalimbali za starehe za mji wa Dar hasa maeneo ya beaches na kweli nilikuwa nainjoi hizi bata...

Sasa bahati mbaya au nzuri nikawa nimepata chuo upande mwingine mbali saaana tukapoteana na mimi kwa kuwa sikuweka sahihi (hatukula tunda) sikuwa na cha kumkumbuka kiviiile zaidi ya kumganda mfamasia wangu. Nilipomaliza masomo nikakuta ameshaoa ...basi havikuuma kiviiile ila still akawa ananiganda kwamba lazima ale tunda maana nilimfanyia ndivyo sivyo...(hapa siwez sema kama tunda lililiwa au lah tupaache).

Mara nyingi huwa namtext kiuchokozii chokozi mda mwingi hasa weekend maana anataitiwa hataree na bi mkubwa so huwa nammiss kiaina...ila hajibu...sasa anapokuja badae kupiga anasema hajaona mesej ila simu ilikuwa ineshikwa na bi mkubwa...

Hivyo huenda bi mkubwa atakuwa amesoma mesej na kuifuta na kupotezea....! Huyu nitakuja nimpatie somo kuhusu namna ya kuhendo simu yake (najua wake wa ndoa mtaongea sana kunicrush ila ndo hivyo...acheni simu za wanaume zenu ziwe za wanaume zenu maana mkiendelea mtakufa haraka na maradhi ya moyo).

Sasa na nyie wanaume mlisikia mapenzi ya kweli ni lazima wake zenu wapokee au washike simu zenu? Wachepukaji mkishafuta meseji zote ili muonekane wasafi basi mnawapa simu washike ili muaminike. Wapiii...acheni.

Mnakwama wapiii?

Hebu mkue basi.
Ujumbe umefika na utafanyiwa kazi.......
 
Wake zetu wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu, waache tu washike simu zetu na si udhaifu huo bali ndiyo uanaume sababu wanatuvumilia kwa mengi sana, sababu wao ni vazi kwetu na sisi ni vazi kwao.

Cha msingi usitafute mpaka utafutwe. Hii ni kanuni mama na ya msingi sana.
 
Sasa na nyie wanaume mlisikia mapenzi ya kweli ni lazima wake zenu wapokee au washike simu zenu? Wachepukaji mkishafuta meseji zote ili muonekane wasafi basi mnawapa simu washike ili muaminike. Wapiii...acheni.
Kwa zama hizi hiki ni kipimo cha mapenzi ya kweli, sababu kwenye simu kuna mengi. Ila asikwambie mtu kama mchepukaji ipo siku lazima utakamatwa tu hata si kwa kupitia simu.
 
Zaman baada ya ule msala alinifuatilia kwa umakini Sana, nikamtumia mamluki wakamuaminishe kua tushaachana. Mamluki wakafanya kazi yao vyema sana.

Kwaiyo mpk sasahv
Anajua tushaachana Hana wasiwsi kabisa na Simu yangu[emoji4]
Aendelee hvyo hvyo hayo mengine yatamharibia
 
Acha kulazimiSha kua na huyo chalii ulishapigwa mkuyenge na hakukuoa umepatwa na sonona mpaka umekuja kuandika

mwache mwenzako amlinde bwana ake dhidi ya majakololo kama wewe
teh teh teh!
Write your reply...
We utakuwa mke wa ndoa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sharing is caring my dear
 
Punani yake anasema kianzio laki mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana kutwa sijakutia machoni
Natumai u mzima wa afya
Hilo la laki 2 umesema wewe
 
Mie niko safi kabisa. Naona kuna mujamaaa ananyemelea punani yako sasa kigezo cha kitum laki mbili kwa wakala sijui ataweza
 
Kila mwanaume ana haka kamwanamke alikokapendaga kweli akakagharamia kisabato bila Kula tunda afu badae inakuwaga hivihivi[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji275]
Umeona eeehh
Analalamika kweli siku hizi
Maana alihangaika kwelii
Sema tunda ndo haliikuliwa sababu ya usabato kumbe wengine wanakula daily
 
Back
Top Bottom