Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Wakulungwa tumeshaelewa nini kimeshatokea maana formula ni ile ile. Hatukai na mademu wasumbufu. Yaani me unizungushe penzi miezi mwaka halafu unigande wa kazi gani.....

Hiyo ilikuwa zamani. Msumbue mwanaume ukijijua ni bikra ila kama si bikra then unazungusha ya kazi gani. Si ni bora umwambie tu mtu kuwa haiwezekani apambane na mambo mengine kuliko kumpigisha chenga za kitoto.

Me ukinikata stimu na story za mapozi nakupotezea hapo hapo nakuacha upambane na hali yako.
 
😃😃😃 mkuu relax bwanaa
We hujapenda wewe
 
Yule nimemkamata ndindindi
Hana pa kutokea...yani yule kuku ni wangu sema tu anafugwa kwa jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu mnadhambi nasiku utakua na mume nae atafanywa hivo hivo
 
Kuhusu kushikiwa simu, Mimi kwanza nakubali siwezi kumzuia wife kushikasimi yangu kwa sababu maalumu zifuatazo.

1.Mimi huwa natumia simu ya wife, Natumia internet tu sio kupiga au SMS.
Hi ni kwasababu Mimi Natumia kitochi, internet na Access kwa PC kote Hadi humu JF
Sasa shida inaanza nikiwa nimelala usiku siwezikuamka kwenda kuwasha pc nichungulie mikeka yangu inaendeleaje au nipite humu, wakati pembeni Kuna simu ya wife ipo tu.
Kwa sababu hiyo Mimi kutumia simu yake na yeye anaweza kutumia yangu.

2. Akitoa sababu kutumia kitochi changu kuwasha tochi siwezi kumnyima wakati simu yangu ina tochi,
Hapa labda ninunue tochi atakuwa Hana ujanja.
Mfano sikumoja aliniomba simu atumie tochi nikamuambia si uwashe yako akasema yake in mwanga mkali Sana madudu nje yatamfuata Basi nikampa lakini nilijua anaenda kukagua.
 
Binafsi Simu yangu Kama ya CIA, Ni marufuku mtu yeyote kushika.

Isipokua wife na yeyewe labda anivizie nmelala aingize fingerprint [emoji4]
Inashikwaje na mtu sasa...hata wife aache bwana
Akija kutana na heka heka za ma j atamlaumu nani wakat sim si yake
 
Uchepukaji hautawasaidia lolote
Punguza makasiriko mkuu[emoji4]
IMG_20210917_184735.jpg
 
Back
Top Bottom