Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Binafsi
Simu yangu mke wangu kuishika ruksa, ni vile tu naona imani yake kwangu kubwa haigusi gusi hovyo labda awe na shida ya muhimu, mimi na mke wangu hakuna limitations kwenye simu zetu, yake iliharibika, nimempa ya kwangu, so natumia kiswaswadu, hivyo JamiiForums na huduma chache natumia simu yake. Mke wangu ni sehemu ya mwili wangu, hakuna kufichana, nikiwa nina deni atajua, nimetusua sehemu ajue, huku kuficha ficha ndio unatengeneza ufa, watu tumetofautiana binafsi nilipoamua kuoa, nikaacha mambo yoote ya kiduwanzi, hivyo simu yangu kuwa wazi kwake naona ni hatua njema kuzidi kujilinda na vishawishi, maana uwongo mbaya kuna kipindi "akili za nyege" zinataka utende jambo, ukizembea utatenda kweli.
Wanawake wa ndoa mumjengee huyu mkuu sanamu pale ubungo kwenye kijazi interchange
 
Wake zetu wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu, waache tu washike simu zetu na si udhaifu huo bali ndiyo uanaume sababu wanatuvumilia kwa mengi sana, sababu wao ni vazi kwetu na sisi ni vazi kwao.

Cha msingi usitafute mpaka utafutwe. Hii ni kanuni mama na ya msingi sana.
Nimeshikilia usitafute mpaka utafutweee
 
Mie niko safi kabisa. Naona kuna mujamaaa ananyemelea punani yako sasa kigezo cha kitum laki mbili kwa wakala sijui ataweza
Hahaha we achaga basi ufalaaa...
Wanyemelee tu
Ila me nkiwa nje ya hapa nakuwa mtu mwema sanaa utadhani sio mimi
 
Hahaha we achaga basi ufalaaa...
Wanyemelee tu
Ila me nkiwa nje ya hapa nakuwa mtu mwema sanaa utadhani sio mimi
Wengi wetu tukiwa huko nje ni wastaarabu kinoma. Hapa kwenye marimba ya mzungu tunachapa tuu maneno.
Alafu ujue sio ufala bwana...dunia bila story za punani hainogi. Wee ngoja vidume tarehe zifike utashangaa watu wametuma hiyo laki mbili alafu wanasaka punani
 
Wengi wetu tukiwa huko nje ni wastaarabu kinoma. Hapa kwenye marimba ya mzungu tunachapa tuu maneno.
Alafu ujue sio ufala bwana...dunia bila story za punani hainogi. Wee ngoja vidume tarehe zifike utashangaa watu wametuma hiyo laki mbili alafu wanasaka punani
Ntawaacha pale kijazi interchange wakat huo kilo mbili zimetumbuliwa.
Na wanavyojua kuja kulia lia hapa jf sasa baada ya kuingizwa jijini kwa awamu nyinginee utawaonea huruma
 
Nilisisitiza tu kwamba kuwa makini maana hata hao yanaowakuta nao ni mwili mmoja na si miwili
Nilikuelewa ulichomaanisha, sipaswi kuongea saana, nakuwa kama namtukana mamba wakati bado nipo ndani ya maji.

Ila kidhati kabisa, nina imani kubwa na huyu kiumbe, hapa labda abadili gia mbele ya safari huko. Kuna siri nzito siwezi imwaga hapa huwa anapita pita kuchungulia, anaweza akaifuma, hii ndio siri pekee haijui, nitakuja kumwambia huko mbeleni tukijaaliwa uhai.
 
Back
Top Bottom