Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Nilikuelewa ulichomaanisha, sipaswi kuongea saana, nakuwa kama namtukana mamba wakati bado nipo ndani ya maji.

Ila kidhati kabisa, nina imani kubwa na huyu kiumbe, hapa labda abadili gia mbele ya safari huko. Kuna siri nzito siwezi imwaga hapa huwa anapita pita kuchungulia, anaweza akaifuma, hii ndio siri pekee haijui, nitakuja kumwambia huko mbeleni tukijaaliwa uhai.
Mkuu bwana Acha udhaifu huo kusema kila kitu.
Vingine hata ushikiwe panga vibaki kuwa siri yako
Si wanawake hatupaswi kuelezwa kila kitu tunatumia km Fimbo mbelenii
 
Mkuu bwana Acha udhaifu huo kusema kila kitu.
Vingine hata ushikiwe panga vibaki kuwa siri yako
Si wanawake hatupaswi kuelezwa kila kitu tunatumia km Fimbo mbelenii
Hii siri nitaibwaga tu miaka ya mbeleni huko, najua atavunjika mbavu mnoo😂, na hii ndio ilikuwa sababu ya mimi kumuoa yeye, wacha uzee utuchukue chukue kwanza😂
 
Zip
Mkuu bwana Acha udhaifu huo kusema kila kitu.
Vingine hata ushikiwe panga vibaki kuwa siri yako
Si wanawake hatupaswi kuelezwa kila kitu tunatumia km Fimbo mbelenii
Zipo chache hazijui, hizo hatokuja zijua pia ni nje ya mahusiano yangu mimi na yeye kabla hata hatujakutana, ila hii inamuhusu 100%, na ndio ilikuwa kigezo cha mimi kumbeba jumla.
 
Zip

Zipo chache hazijui, hizo hatokuja zijua pia ni nje ya mahusiano yangu mimi na yeye kabla hata hatujakutana, ila hii inamuhusu 100%, na ndio ilikuwa kigezo cha mimi kumbeba jumla.
Hapo tunaenda sawa...
 
Hapana anakula mmoja baada ya mwingine 🤣🤣🤣 yani kwa zamu. Mmoja akizingua ndo mwingine...sio wengu kwa wakat mmoja. Hata utamu unapungua
Nyama robo, maji lita 5, supu itakosa utamu, haya sasa mtoto wa mwanamke mwenzio akinasa na zamu ya mwengine imewadia, si ndio nyie mnasababisha vijana wanajitundika. 😂
 
[emoji28][emoji28]umewaza tofauti...
Sijamaanisha kwa pesa ...
Yani pale nnapoachana na mtu ndo mwingine anapokea kijiti hadi pale itakapokuwa haifanyi kazi tena
Nimekusoma.. Ngoja nimuite Mshana Jr aje kupanga zamu na mitunguli yake. 😂
 
Nyama robo, maji lita 5, supu itakosa utamu, haya sasa mtoto wa mwanamke mwenzio akinasa na zamu ya mwengine imewadia, si ndio nyie mnasababisha vijana wanajitundika. [emoji23]
Weeee akae kwa kutulia had tugombane
 
Sasa kwa sharti hilo la laki mbili kidume akijikakamua akatoa sii dhahiri shahiri huyo ndio kidume anapaswa kula punani hiyo
Haha kisa laki 2 ndo amiliki punani aaahh sio kweli. Laki 2 inaweza kuliwa na punani usipewe
 
Back
Top Bottom