interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Rudia kusoma uzi vizuri uuelewe kwanza.Sky Eclat una hoja ya maana lakini hiyo mada ni tata sana. Mimi kwa mtizamo wangu maisha hujengwa na jinsi mtu anavyoyaona maisha.
Anaweza mtu kuwa mkaanga chips maisha yake yote na akaishia kupanga na mwisho wa siku akawa ni mkaanga chips kwenye vilabu vya pombe za kienyeji ama kwenye Bar za mchafukoge.
Awe ni mkaanga chips ama Afisa ya wa benki, kama mwanamke anataka mwanaume wa kubadili maisha yake ni lazima atazame kwanza akili ya huyo mwanaume.
Mtazamo wa mwanaume au mwanamke hujengwa toka alikolelewa. Wanasaikolojia wanadai ni rahisi mwanaume kujenga mtazamo toka kwa mwanamke aliyemlea kuliko mwanaume aliyemlea. Jinsi mwanaume anavyoyatazama maisha ndivyo nafasi ya kusonga mbele inavyokuwa.
Maana hata mkaanga chips anaweza kuwa ni mkaanga chips anayetumia banda lake la kukaangia chips kama tego la kupatia wanawake. Huyu naye hana uwezo
Wanawake zijaribuni kwanza akili za wanaume mnaotaka kufanya nao maisha badala ya kuangalia walivyo navyo. Akili ndizo hubadili maisha ya mtu na si vile alivyo navyo. Ndiyo maana tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho na maskini wa leo akawa tajiri wa kesho.
FaizaFoxy wanawake wengi (Siyo wote) wanaoishi kwenye nyumba za urithi ndiyo wanaongoza kwa kuwa na watoto kwa baba tofauti tofauti kwa kuwa wao ni maslahi mbele.
Ushaanza kukua kiakili, tena achana kabisa na yule shoga yako kidawa kumsikiliza na kutekeleza sera mbaya za kudanga.Kifupi wanawake tupambane wenyewe kutafuta pesa mengine ya ziada, Asante kwa ujumbe Esky Eclat.
Delivered message that's why you pretend to know nothing still you have found what the truth penetrates pains inside your soul[emoji1787]Hata sijakuelewa sentensi yako inauliza swali au ndo umeelezea...
So ushaacha kunipiga vibomu tena au bado unaendelea ila utakuja kuacha kunipiga mizinga baadaye?Kweli kabisa
Delivered message that's why you pretend to know nothing still you have found what the truth penetrates pains inside your soul[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sina shoga anaye nifundisha kudangaUshaanza kukua kiakili, tena achana kabisa na yule shoga yako kidawa kumsikiliza na kutekeleza sera mbaya za kudanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Idea ya biashara unataka mke ama consultant lolGood examples. Na wanawake hao ni wale wa mipango. Huenda kuwa sio romantic kivile lakini ni yule mwaname anaekupa fursa. Mipango. Michongo.. yaaan mwanamke anakupush mfanye kitu. Yeye sio spender bal ni mtafutaji pia.
Hawa wa pwan wengi wao wanajua kula tu.. kutwa kudanga. Lakin ukimwambie nipe idea ya biashara. Hana hata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Idea ya biashara unataka mke ama consultant lol
Cha msingi wanatoa, hayo mengine watajibeba nayo wenyewe.
Hata kama ni 50,000 kwa siku kumi ana 500,000 wakati teller ana 750,000 kwa mweziJe Huyo mkaanga chips hiyo 200,000/- anayoingiza kwa siku moja ni “net amount “?
Au ni ghafi yaani gross amount?
Je hiyo laki mbili ni baada ya kutoa gharama za kununulia mafuta, viazi, makaa/gesi, kumlipa kijana, tomato, n.k.?
Nimeona nitoe angalizo kidogo maana isijekuwa ni gross figure ambapo akitoa gharama zote anabaki na 50,000/- tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni 50,000 kwa siku kumi ana 500,000 wakati teller ana 750,000 kwa mwezi
Umeniita?Rebecca, Cariha, Heaven sent, Madame, n.k wanapiga chabo juu juu tu na kusepa, haha hahaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app