Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,969
- 51,127
Kuna waliokuja wakajenga karibu ya mjini usisahau hilo, haimaanishi kuwa wao ni wa mjini. Mjini Dar, Mwisho bonde la Jangwani.Sky Eclat una hoja ya maana lakini hiyo mada ni tata sana. Mimi kwa mtizamo wangu maisha hujengwa na jinsi mtu anavyoyaona maisha.
Anaweza mtu kuwa mkaanga chips maisha yake yote na akaishia kupanga na mwisho wa siku akawa ni mkaanga chips kwenye vilabu vya pombe za kienyeji ama kwenye Bar za mchafukoge.
Awe ni mkaanga chips ama Afisa ya wa benki, kama mwanamke anataka mwanaume wa kubadili maisha yake ni lazima atazame kwanza akili ya huyo mwanaume.
Mtazamo wa mwanaume au mwanamke hujengwa toka alikolelewa. Wanasaikolojia wanadai ni rahisi mwanaume kujenga mtazamo toka kwa mwanamke aliyemlea kuliko mwanaume aliyemlea. Jinsi mwanaume anavyoyatazama maisha ndivyo nafasi ya kusonga mbele inavyokuwa.
Maana hata mkaanga chips anaweza kuwa ni mkaanga chips anayetumia banda lake la kukaangia chips kama tego la kupatia wanawake. Huyu naye hana uwezo
Wanawake zijaribuni kwanza akili za wanaume mnaotaka kufanya nao maisha badala ya kuangalia walivyo navyo. Akili ndizo hubadili maisha ya mtu na si vile alivyo navyo. Ndiyo maana tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho na maskini wa leo akawa tajiri wa kesho.
FaizaFoxy wanawake wengi (Siyo wote) wanaoishi kwenye nyumba za urithi ndiyo wanaongoza kwa kuwa na watoto kwa baba tofauti tofauti kwa kuwa wao ni maslahi mbele.
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu
Mwanaume aliyekupenda atakuwa tayari kufanya chochote ili akuridhishe. Kama mwanamke amempenda mkaanga chips na kumwambia ninahitaji milioni 5 ninunue kiwanja mwanaume atajitahidi kuzitafuta.Sky Eclat una hoja ya maana lakini hiyo mada ni tata sana. Mimi kwa mtizamo wangu maisha hujengwa na jinsi mtu anavyoyaona maisha.
Anaweza mtu kuwa mkaanga chips maisha yake yote na akaishia kupanga na mwisho wa siku akawa ni mkaanga chips kwenye vilabu vya pombe za kienyeji ama kwenye Bar za mchafukoge.
Awe ni mkaanga chips ama Afisa ya wa benki, kama mwanamke anataka mwanaume wa kubadili maisha yake ni lazima atazame kwanza akili ya huyo mwanaume.
Mtazamo wa mwanaume au mwanamke hujengwa toka alikolelewa. Wanasaikolojia wanadai ni rahisi mwanaume kujenga mtazamo toka kwa mwanamke aliyemlea kuliko mwanaume aliyemlea. Jinsi mwanaume anavyoyatazama maisha ndivyo nafasi ya kusonga mbele inavyokuwa.
Maana hata mkaanga chips anaweza kuwa ni mkaanga chips anayetumia banda lake la kukaangia chips kama tego la kupatia wanawake. Huyu naye hana uwezo
Wanawake zijaribuni kwanza akili za wanaume mnaotaka kufanya nao maisha badala ya kuangalia walivyo navyo. Akili ndizo hubadili maisha ya mtu na si vile alivyo navyo. Ndiyo maana tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho na maskini wa leo akawa tajiri wa kesho.
FaizaFoxy wanawake wengi (Siyo wote) wanaoishi kwenye nyumba za urithi ndiyo wanaongoza kwa kuwa na watoto kwa baba tofauti tofauti kwa kuwa wao ni maslahi mbele.
Mkuu TAKUKURU wanakutafuta😀😀😀😀😀Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! una mbwembwe sana wewe. Ina maana watu wa Magomeni siyo watu wa mjini? Hongera yenu watu wa Kariakoo.Kuna waliokuja wakajenga karibu ya mjini usisahau hilo, haimaanishi kuwa wao ni wa mjini. Mjini Dar, Mwisho bonde la Jangwani.
Bibie mie nilidhani unawalekeza wajitafutie? kumbe wewe unawatoa kwa mabenki teller kwenda kwa wauza chips. Mimi nadhani ungewambia wazazi waondoe hizo mind set za kutegemea wanaume na wajitegemee. Pole kwa yaliyokukuta na benki tellerMnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.
Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.
Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!
Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
kwa ishu ya 2006 to 2008Mkuu TAKUKURU wanakutafuta😀😀😀😀😀
Nilitaka kumueleza dada ma afisa wa benk wanavyomudu kulea wadada wa mjini wakati mshahara wao halali ni chini ya laki nane
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu
Aah wa magomeni wenyewe wakija Kariakoo wanasema "nakwenda mjini".Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! una mbwembwe sana wewe. Ina maana watu wa Magomeni siyo watu wa mjini? Hongera yenu watu wa Kariakoo.
Ila siku hizi hapo kwenu ni kama kumekuwa ni ukingani maana wamejaa kina Sanga na Mbwilo watoto wa mjini wameuza maeneo yao kwa wakuja ambao kwa sasa ndiyo wana wa mji.
Mimi mwenyewe nimekimbiwa kisa hatulingani elimu
Aliyekuoa anafaida.Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.
Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.
Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!
Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
KweliSema ukweli
Hao ni wasichanaKweli
Kabla hajaolewa anasema mimi nataka mwanaume mwenye hela, akishaolewa sasa na huyo mwenye hela anarudi tena anatembea na wale aliowakataa kuwa hawana hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.
Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.
Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!
Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
MOTIVATION YA MADADA ZETU IKO KTK HELA NA NDIO MAANA NDOA NA MAHUSIANO MENGI YA KUDUMU YAMEBAKI HISTORIA KAMA HADITHI ZA ALFA LELA ULELA AU HISTORIA ZA VITA BARIDI. MAJUKUMU YAMEKUWA NI MENGI, NA MITINDO YA MAISHA IMEKUWA MINGI SANA. KUISHI KWA KUDANGA KUNA MWISHO AND NEVER CHEAT YOURSELF KUWA UKIPATA UNACHOTAKA UTAACHA, "NO HYENA HAS EVER LEFT A MEAT ON BUTCHER DESPITE BEING SATISFIED"Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.