Mnakaribishwa wanafunzi wapya wa mwaka wa masomo 2017/2018 kwenye chuo cha bahari

DAMISO DMI

New Member
Sep 23, 2017
1
3
Chuo cha bahari( Dar es salaam Maritime Institute) kinachotoa kozi za unahodha wa meli na uhandisi meli kinapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza katika muhula wa masomo wa mwaka 2017/2018.Pia chuo kimeongeza moja ya kozi ili kupanua wigo katika sekta ya bahari ambayo ni Bachelor of logistics and shipping. TUNAWAKARIBISHA WOTE. ASANTE SANA
 
Ahsante sana. Vipi kuhusu ada zake, level zake mfn diploma, degree na masters.
vipi khusu sifa za kujiunga
 
Ahsante sana. Vipi kuhusu ada zake, level zake mfn diploma, degree na masters.
vipi khusu sifa za kujiunga
Njoo chuoni panda mwendokasi mpaka kituo cha city council halaf ulizia chuo cha bahari au chuo cha dmi,fika mpaka ofisi ya msajili kaka utapewa muongozo mzima
 
comrade bado nafasi zipo nikileta mtoto wiki atapata nafasi? kuna mtoto nataka awe baharia
Yah nafasi zpo lakin udahili kwa ngazi ya diploma umeshaisha mda wake bt kwa upande wa degree kesho ndo mwsho, bt kwa level za courses fupi bdo room ipo fany kufika hapa chuoni
 
Back
Top Bottom