Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1.akioga bafuni nadhan ni tank nzima ya maj anamaliza.anaoga masaa 3(chumvi hii)..ila anaweza achia bomba inamwaga maj had unajiuliza,hiv haya maj si nalipia lakin
2.akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nus saa ndo anakumbuka kua kumbe anapasi.hiv mi si nalipia luku.anaweza fua masaa mashne inazunguka tuu anarudiaa et anataka nguo ingae
3.dem anamaliza sabun huyu dah akiosha vyombo
4.akikaanga kuku sasa au samak,yan kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote,yaan akija jmos had jpil kuku wote kwenye fridge wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi,ni kwamba nmekuta kawasha gas ,inatoka tuu bila moto.af hata hajajuaa..naskia tuu xiiiii.na haruf nauliza hyo si gas inatoka et yuko heee,et alitaka hemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke mda huu...hata ham ya kugegeda imetoka
Uzi tayar