Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,068
- 124,587
Kwa hiyo humpendi? Kama ni hivyo hukuwa na haja ya kuja kutuomba ushauriHapana,yaan kabsa nikae nimfundishe,kwakua nampenda sana au?huyu imekula kwake
Kwa hiyo humpendi? Kama ni hivyo hukuwa na haja ya kuja kutuomba ushauriHapana,yaan kabsa nikae nimfundishe,kwakua nampenda sana au?huyu imekula kwake
Una gubu....unamind vitu vidogo sanaZa siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1.akioga bafuni nadhan ni tank nzima ya maj anamaliza.anaoga masaa 3(chumvi hii)..ila anaweza achia bomba inamwaga maj had unajiuliza,hiv haya maj si nalipia lakin
2.akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nus saa ndo anakumbuka kua kumbe anapasi.hiv mi si nalipia luku.anaweza fua masaa mashne inazunguka tuu anarudiaa et anataka nguo ingae
3.dem anamaliza sabun huyu dah akiosha vyombo
4.akikaanga kuku sasa au samak,yan kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote,yaan akija jmos had jpil kuku wote kwenye fridge wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi,ni kwamba nmekuta kawasha gas ,inatoka tuu bila moto.af hata hajajuaa..naskia tuu xiiiii.na haruf nauliza hyo si gas inatoka et yuko heee,et alitaka hemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke mda huu...hata ham ya kugegeda imetoka
Uzi tayar
PoleKupenda ni ishu nyingne dada,skuhiz tunaish tuu kusegeza siku,mapenz ya kwel hakuna,namtaman tuu sabab mzur ana msambwanda
Huyo ni mkeo? Seriously una mind maji? Sabuni? Mimi hata sijui kama huwa wanatumia maji au sabuni coz ni negligibleWew si bado bachela,huwez elewa haya mambo
Mkuu ulikuwa wapi umepotea sanaMkaze leo usiku kulipizia gesi yako
Sawa mkuu.Mkuu sidhani kama ni uchoyo, kupangilia budget muhimu. Lakini alitakiwa pia amwambie mwenzie kwamba hao kuku tumia mmoja huwenda mwenzie huwa anafikiri wameandaliwa kwaajili yake
Pacha, tatizo linaweza kuwa hata sio vitu, tatizo ni tabia ya mtu kutojali. Leo tuko kwenye maji na sabuni kesho itakuwa kitu kingine, let's say mtu anawasha gari then anaenda kuoga anaacha inaunguruma, au mtu anawasha gas anaiacha inaendelea kutoka huoni kwamba inaweza kusababisha hatari kubwa? Na mwisho maisha huwa yanabadilika, leo hii una vijisenti unaweza kuona maji kumwagika bila sababu sio big deal kwa kuwa hau-struggle kulipa bill lakini zinaweza kuja nyakati mbaya kila shilingi mia inayoongezeka kwenye bill inakuongezea maumivu sasa kama mlizoeshana kuishi namna hiyo si ndio mwanzo wa kukimbiana halafu mnaanza kulaumu kumbe maradhi mnafuga wenyewe.Huyo ni mkeo? Seriously una mind maji? Sabuni? Mimi hata sijui kama huwa wanatumia maji au sabuni coz ni negligible