[emoji23][emoji23][emoji23] unanijaribu...ila umezidisha sana hadi inaonekana kabisa haupo serious, ungetaja kilo 2 - 5 ungeniona saa kumi na mbili asubuhiSawa mkuu.
Kesho karibu Kivule. Nimekuandalia sangara wa kilo 20.
Unalalamikia kuku wawili huku unapenda msambwanda, huko ndo kuhudumia ndugu yanguKupenda ni ishu nyingne dada,skuhiz tunaish tuu kusegeza siku,mapenz ya kwel hakuna,namtaman tuu sabab mzur ana msambwanda
Wewe nae wifi zako watapata tabu sana. Anyway si unamwambia tu? Mwenye gubu anafanya kama mleta mada.Pacha, tatizo linaweza kuwa hata sio vitu, tatizo ni tabia ya mtu kutojali. Leo tuko kwenye maji na sabuni kesho itakuwa kitu kingine, let's say mtu anawasha gari then anaenda kuoga anaacha inaunguruma, au mtu anawasha gas anaiacha inaendelea kutoka huoni kwamba inaweza kusababisha hatari kubwa? Na mwisho maisha huwa yanabadilika, leo hii una vijisenti unaweza kuona maji kumwagika bila sababu sio big deal kwa kuwa hau-struggle kulipa bill lakini zinaweza kuja nyakati mbaya kila shilingi mia inayoongezeka kwenye bill inakuongezea maumivu sasa kama mlizoeshana kuishi namna hiyo si ndio mwanzo wa kukimbiana halafu mnaanza kulaumu kumbe maradhi mnafuga wenyewe.
Hata kama vitu vipo kwa wingi nidhamu muhimu
Hahahaa tena wajipange. Mtoa mada ana gubu hatari, ila kwa sababu amesema hampendi sishangai. Kesho huendi sabasaba nikusindikize?Wewe nae wifi zako watapata tabu sana. Anyway si unamwambia tu? Mwenye gubu anafanya kama mleta mada.
Mkuu ulikuwa wapi umepotea sana
Duh sijaenda sabasaba tangu nilipokuwa form 1....Hahahaa tena wajipange. Mtoa mada ana gubu hatari, ila kwa sababu amesema hampendi sishangai. Kesho huendi sabasaba nikusindikize?
HongeraNipo mkuu,shemeji yako alikuwa kajifungua nikachukua likizo ya uzazi
Una gubuuu khaaah!!
Hivi unaamini kabisa huo uzushi?Hahaha, naona mmeamua kumtolea uvivu mtoa mada.
Kuna vitu mtoa mada anazingua, huwezi huwezi hesabu sabuni, au maji.
Ila shemeji naye ni careless, wewe unasahau vipi gas si hatari hiyo, au ishu za kufua nguo mara mbili kwenye mashine, labda kama mashine mbovu, lakini mara nyingi mara moja tu inatosha.
Aisee hayaDuh sijaenda sabasaba tangu nilipokuwa form 1....
Hivi unaamini kabisa huo uzushi?
Wala sio kilaza,ni mpumbaf tuu
😂😂😂😂😂😂😂[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kazi unayo huyo ni kilaza kiwango cha stigiler gorji
Hahaha qumamae nimecheka😂😂😂😂😂😅😅😅😆😆😆😆😆😄😄😄😀😀😀😃😆😆😆😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂Wala sio kilaza,ni mpumbaf tuu
Kwahio anakula nyekundu chap kwa ukalii😅😆😂😄Hapana,yaan kabsa nikae nimfundishe,kwakua nampenda sana au?huyu imekula kwake