Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,510
Aisee utaniua, mie nataka nile nishibe hata kama ni mlo mmoja tu. Sasa budget za namna hio mbona kali sana. Ugali paka haruki na perege 3 aisee? haitafaa 😄😄😄Hahaha tatizo najiangalia mimi bajeti yangu vile inakuwaga kali, nakumbuka siku za nyuma nilikuwaga nanunua samaki kilo tatu hiyo bajeti ya mwezi mzima, ukija na njaa njaa zako za kula kilo nzima kwa mara moja utanikwaza walah.
Sio uchoyo nadhani ni ubahili, mchoyo ye anakula mwingine anamfanyia mtima nyongo
budget yako nyoko hio