Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Wala aina haja ya kumfundisha mpuuzi uyo inaonekana yupo careless sana kama ivyo vitu tu vidogo anashindwa kuwa makini je ataweza kuwa makini hata kwa vitu vyenye thamani kubwa kiufupi simshauri mleta uzi aoe hivi ndio vile vidada visistaduu ata chupi yake kufua hawezi
Huyo ni mzembe wa kupindukia...inaonesha kwao yuko peke yake, miaka yote amekaa na hausigeli na ni type ya wale watoto ambao hata akifanya madudu mzazi hamfinyi wala kumfokea. Inabidi wewe ndio uchukue jukumu la kumfundisha na kumuelekeza yote aliyotakiwa kujua tangu akiwa na miaka 10. Kila la heri mkuu
 
Wala aina haja ya kumfundisha mpuuzi uyo inaonekana yupo careless sana kama ivyo vitu tu vidogo anashindwa kuwa makini je ataweza kuwa makini hata kwa vitu vyenye thamani kubwa kiufupi simshauri mleta uzi aoe hivi ndio vile vidada visistaduu ata chupi yake kufua hawezi
Hapana mkuu huyo kwanza anaonekana bado mdogo hata maisha hayajui kwa hiyo ni wa kufundishwa tu
 
Hilo nalo la kuuliza mkuu..huyo ni hasara..kama unataka siku moja uamke na kujikuta unaanza maisha upya endelea nae
 
Tuliooa wachaga hatuna hizo stress[emoji3][emoji3]
 
Nmegundua watu wanatetea ujinga sana hum....
Mwanamke mfujaj ni mfujaji
Na sjaongelea jinsi anavyomwaga chakula

Leo ameondoka nmejiskia na amani kwelkwel.
 
Ndo maneno yenu haya mkiambiwa ukwel
 
Sasa kuku si umwache ale ashibe??? Mtu hasemwi kwa kula.

Vingine kaa nae mfundishe labda kwenye familia yao hayo hakuyapitia.
Anamaliza basi,utakuta chakula kimelundikwa kwenye sufuria anaenda mwaga
 
Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1. Akioga bafuni nadhani ni tank nzima ya maji anamaliza. Anaoga masaa 3(chumvi hii)ila anaweza achia bomba inamwaga maji hadi unajiuliza hivi haya maji si nalipia lakini?

2. Akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nusu saa ndo anakumbuka kuwa kumbe anapasi. Hivi mimi si nalipia luku? Anaweza fua masaa mashine inazunguka tu anarudiaa eti anataka nguo ing’ae

3. Anamaliza sabuni akiosha vyombo

4. Akikaanga kuku sasa au samaki, yaani kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote. Yaani akija J’mosi hadi J’pili kuku wote kwenye friji wameisha

Kilichopelekea kuandika uzi ni kwamba nimekuta kawasha gesi inatoka tu bila moto halafu hata hajajua. Nikawa nasikia tu “xiiiii” na harufu. Kuuliza hiyo si gas inatoka? Eti yuko heee alitaka chemsha maji..

Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke muda huu. Hata hamu ya kugegeda imetoka
Wewe kama umemchoka mtakie tigo hatokuja tena kukusumbua wadada kama hao wanaogopa tigo.
Ila kama unampenda unataka abadilike mwambie mimi ukija kwangu sitaki hili au lile kama hutaki sepa kwenu uje muda utakaoniheshimu
 
Usimchezee mtu anyekuharibia bajeti oa mwanamke anayepanga bajeti halii yenyewe hii sisi kuku wawili huliwa wiki moja au moja nanusu hakuna muchezo na hela
 
Kumchana mtu ni ngum sana
 
Usimchezee mtu anyekuharibia bajeti oa mwanamke anayepanga bajeti halii yenyewe hii sisi kuku wawili huliwa wiki moja au moja nanusu hakuna muchezo na hela
We umenielewa,kuna watu wengne hum wanajifanya hawajali,kwamba wee fuja tuu tutalipia
 
Wewe msikilize tu huyo Daby kuna siku humu alilalamika mtu alikula kopo zima la nini sijui ile
😅😅😅😅😂😂😂😂 inauma pale kitu ulichofikiria kukila ukifika home halafu ukute mtu kala!!! Ina pain sana, nadhani ndio yaliomkuta Daby
 
Back
Top Bottom