B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Kibuti tu
Sasa mbona unasema aliyekula kuku watatu kwa siku moja ni sawaRequired Dietary Allowance.....per day. haitakiwi kilo nzima per day
Wapi nimesema hivyo?Sasa mbona unasema aliyekula kuku watatu kwa siku moja ni sawa
Nilimtupia nani?Anakemea ufujaji vitu vya ndani ila kuomba hela na kuwatupia vijana matatizo yao ya kifedha wanaona sawa!
MimiNilimtupia nani?
Lini? Hebu nikumbushe... Ukiwa na ushahidi itapendeza zaidiMimi
Njoo PM sipendi kukuumbuaLini? Hebu nikumbushe... Ukiwa na ushahidi itapendeza zaidi
Lakini si nimeruhusu mwenyewe kwa maana hiyo sio tatizo kwanguNjoo PM sipendi kukuumbua
Kwangu ni tatizo. Aibu naona mimiLakini si nimeruhusu mwenyewe kwa maana hiyo sio tatizo kwangu
Haya, nitumie nauli ya kuja huko PMKwangu ni tatizo. Aibu naona mimi
Pole sana baharia..Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1. Akioga bafuni nadhani ni tank nzima ya maji anamaliza. Anaoga masaa 3(chumvi hii)ila anaweza achia bomba inamwaga maji hadi unajiuliza hivi haya maji si nalipia lakini?
2. Akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nusu saa ndo anakumbuka kuwa kumbe anapasi. Hivi mimi si nalipia luku? Anaweza fua masaa mashine inazunguka tu anarudiaa eti anataka nguo ing’ae
3. Anamaliza sabuni akiosha vyombo
4. Akikaanga kuku sasa au samaki, yaani kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote. Yaani akija J’mosi hadi J’pili kuku wote kwenye friji wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi ni kwamba nimekuta kawasha gesi inatoka tu bila moto halafu hata hajajua. Nikawa nasikia tu “xiiiii” na harufu. Kuuliza hiyo si gas inatoka? Eti yuko heee alitaka chemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke muda huu. Hata hamu ya kugegeda imetoka
Uje angalau na mboga sio unakuja kula kumu wote kwenye jokofuHaya, nitumie nauli ya kuja huko PM
Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1. Akioga bafuni nadhani ni tank nzima ya maji anamaliza. Anaoga masaa 3(chumvi hii)ila anaweza achia bomba inamwaga maji hadi unajiuliza hivi haya maji si nalipia lakini?
2. Akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nusu saa ndo anakumbuka kuwa kumbe anapasi. Hivi mimi si nalipia luku? Anaweza fua masaa mashine inazunguka tu anarudiaa eti anataka nguo ing’ae
3. Anamaliza sabuni akiosha vyombo
4. Akikaanga kuku sasa au samaki, yaani kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote. Yaani akija J’mosi hadi J’pili kuku wote kwenye friji wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi ni kwamba nimekuta kawasha gesi inatoka tu bila moto halafu hata hajajua. Nikawa nasikia tu “xiiiii” na harufu. Kuuliza hiyo si gas inatoka? Eti yuko heee alitaka chemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke muda huu. Hata hamu ya kugegeda imetoka
Haina shida we nitumie hiyo hela ya mbogaUje angalau na mboga sio unakuja kula kumu wote kwenye jokofu
There you go.....nionee huruma kama ulivyoonea huruma bill za jamaaHaina shida we nitumie hiyo hela ya mboga