Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Martyr 360

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
434
655
Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu.

Ofcoz inakuwaga mziki sana kuanzisha maongezi kwenye mazingira kama haya, ningependa kwa mwenye trick atusaidie.
 
Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiwi kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.

Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguza bas speed tusalimiane"

Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax, wewe unaitwa nani kama hutojali?".
 
Unamfuata mbona simple sana, unamsalimia, unamsifia kapendeza(hata kama ni uongo) halafu unamueleza nia yako ya kumfuata.

Kwa maelezo sijui niwekaje ila kwa vitendo ni rahisi mno. Kikubwa ujiamini kama mwanaume. Siku ya kwanza huwa ni ngumu na ni rahisi.
 
Unaangusha buku 10 karibu yake halafu unamwambia dada umeangusha hela. Jibu lake baada ya hapo ndio litaamua approach inayofuata. Akidai ni ya wa kwake basi hilo ni gube gube liuza mbwinya hivyo usihangaike na kutongoza wewe tangaza dau lako tu.
 
Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiw kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.

Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguz bas speed tusalimiane"

Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax ww unaitw nan kama hutojali?".
Fata hii.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiw kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.

Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguz bas speed tusalimiane"

Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax ww unaitw nan kama hutojali?".
Nikifuatwa nyuma wakati natembea huwa naogopa na ninaongeza mwendo kumkwepa.
Labda kuna wanawake wanapenda kufuatwa hiyo style yako. Sijui.
 
Huwa mnateseka
 
Nikifuatwa nyuma wakati natembea huwa naogopa na ninaongeza mwendo kumkwepa.
Labda kuna wanawake wanapenda kufuatwa hiyo style yako. Sijui.
Samahani ikiwa nitakukwaza Dada, kiukweli umejaliwa neema za kipekee sana, hakika unaonekana una mema zaidi ya haya nionayo kwa macho ya nyama katika mwili wako kiuumbwaji.

Naitwa Mr Baba lao, je wewe waitwa nani Mama?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom