Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,738
nenda vacation kijana.....Mimi matawi ya juu. Niko wired 24/7...
watu muelewe kuwa kuingia JF sio lazima uwe na ri PC likubwaaa na mawaya waya kibao.....FYI sio JF wapo.....
nenda vacation kijana.....Mimi matawi ya juu. Niko wired 24/7...
nenda vacation kijana.....
watu muelewe kuwa kuingia JF sio lazima uwe na ri PC likubwaaa na mawaya waya kibao.....FYI sio JF wapo.....
Utaifurahia zaidi JF ukiwa na FireFox, Internet Explorer inakukosesha mengi... Give it a try & see.Una switch off asubuhi laptop unaingia kwa office...na login...kwenye computer unafunga program zako...kisha unafungua na internet on JF hewani....Ukiwa na IE 8..
Kazini, nyumbani, internet cafes, simu za mkononi au wapi? Ni kutaka kujua maana watu hadi posts 15,000? Inakuwaje? Wengine 24/7? Mnabalance vipi na mambo yenu mengine? Hakuna walioathirika vibaya na hii kitu? Hebu tuambiane ukweli basi..I dare to talk openly?
I think naitaji vakasheni ya siku kama tatu hivi.Nimewahi kujiuliza hili swali nikaamua kufanya uchunguzi. Nilichogundua ni kwamba posts nyingi za JF zinaingia muda wa kazi, monday to friday.
Ukiangalia speed ya watu kupost siku za w.end ni ndogo sana ukilinganisha na siku za kazai, mf kama kuan mtu ameanzisha thread inayovutia na akaipost j.mosi, itapat response kdg j.mosi na j.pili, lakini ukiingia j.tatu mchana utakuta watu kibao wamechangia!
Swala jingine ni muda wa usiku. Ukifanya uchunguzi utagundua kuwa wengi wanaochangia posts mida ya jioni sana au usiku ni watu wa nje ya nchi, na wachache wa hapa bongo(maybe wana net nyumbani au wanaingia kazini shift ya usiku)
......
Angalizo; Kuweni makini, JF is addicting, so jaribuni kujicontrol msijepunguza work output(make nahisi saa nyingine mtu unaweza kukaa foleni unasubiri huduma kumbe njemba iko inasoma JF we unadhani yuko bize!)....
I think naitaji vakasheni ya siku kama tatu hivi.
Maana nahisi JF kama imeharibu bongo langu, yaani kiasi ya kwamba saa ingine habari ya kushangaza mi natoa mimacho tu, maana nashindwa kushangaa kwa jinsi JF ilivyo haribu akili. lol!
Wengi walioko nje ya nchi JF ni ndio sehemu zao za kupata habari na kuchangia ili na lile na kujuwa kinacho jiri uko home. Mara nyingi wachangiaji wengi ujihisi kama wapo nyumba pale wanapokuwa online au kuchangia ili na lile.
Nimewahi kujiuliza hili swali nikaamua kufanya uchunguzi. Nilichogundua ni kwamba posts nyingi za JF zinaingia muda wa kazi, monday to friday.
Ukiangalia speed ya watu kupost siku za w.end ni ndogo sana ukilinganisha na siku za kazai, mf kama kuan mtu ameanzisha thread inayovutia na akaipost j.mosi, itapat response kdg j.mosi na j.pili, lakini ukiingia j.tatu mchana utakuta watu kibao wamechangia!
Swala jingine ni muda wa usiku. Ukifanya uchunguzi utagundua kuwa wengi wanaochangia posts mida ya jioni sana au usiku ni watu wa nje ya nchi, na wachache wa hapa bongo(maybe wana net nyumbani au wanaingia kazini shift ya usiku)
Conclusion; Wana JF wengi hutumia pc za kazini kuchangia au kutembelea jamvi
Angalizo; Kuweni makini, JF is addicting, so jaribuni kujicontrol msijepunguza work output(make nahisi saa nyingine mtu unaweza kukaa foleni unasubiri huduma kumbe njemba iko inasoma JF we unadhani yuko bize!)
Habari njema, nasikia kuna fibre optic cable inakuja, sasa kama kweli itapunguza bei ya internet, watu wengi wataweza kutumia net nyumbani.
N.B - Mi niko nyumbani kwa sasa, simo ktk kundi la wanaotumia pc za ofisini kuvisit net(ofcoz hata ofisini kwetu hakuna hata pc moja!!)
Obuhusegwe!
You are absolutely right! Big five!
Wanajamii forums wengi wanobishana bila hoja za msingi huwa wanatumia mtandao wa Umma yaani maofisini! Mtoa mada angerejea postzangu huko nyuma japo hapa jamvini nimejiunga March 2009 niliwahi kuhoji ikiwa kweli mtu analipa kupitia Zantel Voda au TTCL hawezi kupoteza pesa zake kuchangia utumbo!
ObhusegweAs a proof, subiri uone hii mada itakavyoshambuliwa kesho, duh!
Kaka natumia mtandao wangu binafsi...Unatumia pc yako au unatumia kodi za wadanganyika kuperuzi JF?
Kaka natumia mtandao wangu binafsi...
Kazini, nyumbani, internet cafes, simu za mkononi au wapi? Ni kutaka kujua maana watu hadi posts 15,000? Inakuwaje? Wengine 24/7? Mnabalance vipi na mambo yenu mengine? Hakuna walioathirika vibaya na hii kitu? Hebu tuambiane ukweli basi..I dare to talk openly?
Nimekuelewa mkuu, ni kweli ni ukihukaji wa haki za mwajili kutumia muda wa kazi kwa kufanya shughuli binafsi, zilizo nje ya kazi husika.Ok good!
Sipendi watu wanaoshambulia mafisadi kila siku wakati nao ni mafisadi wadogowadogo, using their time at office to check in JF!
Kila mtu JF ana mchango wake na kwa aina tofauti. Kuna wenye kuuliza maswali kila kukicha wakitaka ushauri, kuna wenye kuleta mizaha na utani na hii pia ni muhimu kusaidia watu ku relax, kuna wenye kuleta mada moto zenye kuhitaji michango na analysis, kuna wenye kutafuta na kubandika habari kutoka vyanzo mbalimbali. Hawa tena mimi naweza kuthubutu kusema kuwa ni muhimu mno maana kuna watu hawawezi kupata habari hizo kwa urahisi. Hivyo ni makosa kubeza watu kwa michango wanayoitoa JF.
Ndugu yangu, usihofu kuchangia kwa style yoyote kwa maana kila mchango ni muhimu hapa JF.
Kazini, nyumbani, internet cafes, simu za mkononi au wapi? Ni kutaka kujua maana watu hadi posts 15,000? Inakuwaje? Wengine 24/7? Mnabalance vipi na mambo yenu mengine? Hakuna walioathirika vibaya na hii kitu? Hebu tuambiane ukweli basi..I dare to talk openly?
Utaifurahia zaidi JF ukiwa na FireFox, Internet Explorer inakukosesha mengi... Give it a try & see.
Pole kwa kuwa addicted.
Ha!ha!ha! Mkuu Max.....nadhani hapa wadau watakuwa wanarefer washkaji wa UWT na kuna wale wengine ambao wanaweza kuwa sponsored just ''kuspoil mazingira'' hapa!