Mnaangalizia wapi JF jamani?

Mnaangalizia wapi JF jamani?

Introduction: Ni kweli kila mtu ana mchango wake, kwa mfano mchango wa mwanakijiji sio sawa na mchango WoS wala UM wala sawa na wa Penny wala Superman. Hiyo ndio inaitwa diversity.

Results and
Discussion: : Hayo ya kubeza umeyatoa wapi? eeh, kutunga, kama ninavyoheshimu mchango wako na wewe unavyoheshimu mchango wa wanaouliza maswali kila siku, wanaotoa ushauri, wanaotafuta habari na kubandika, basi heshimu mchango wangu wa kucriticise pale ninaweza na kutaka, okay lady? Ulichofanya hapo ni kunibeza!
Okay nikija kwenye point, Mwenye post 15,000 ni Mwanakijiji, right? Yeye anarepresent 0.009 % ya members wote, na mchango wake ni 3.16% ya post zote at the rate of 0.011 per year, sijapiga hesabu ya thread alizoanzisha, ameingia humu JF 2006.

WoS unarepresent 0.009 % ya members humu na mchango wako ni 0.46 % ya post zote at the rate of 0.015 per year na Uwiano Maalum hapa ninarepresent 0.009 % members humu na mchango wangu ni 0.18 % ya post zote at the rate of 0.01 per year. Mwanafalsafa1 ni katika members ambao wanarate ya juu ya kupost, 0.4 posts per year wkati mchango wake ni 10% ya mchango wa Mwanakijiji.

Tofatuti ya michango hapa JF imebase zaidi na tuliokuwemo humu JF, accessibility ya internet, tofauti ya majukumu ya kitaifa na kifamilia, priorities na maslahi.

Conclusion: Idadi ya post za mtu zinawiana zaidi na muda toka mmoja ajiunge na JF. Ukichukulia wastani wa kupost kwa mwaka, WoS uapost at high rate than mwenye post 15,000.

Hivyo basi WoS sikuwa nabeza bali ni fact kwamba kuwa na post 15,000 kunategemea na muda wa JF membership, na kwamba rate zinatofautiana za kupost inaweza kuwa ndogo japo una post nyingi.

good analysis mkuu UM, ila intro ungai expand kidogo ili iwemo na 'literature review', mf JF ilikotoka, asili ya memba wake etc lol
 
WanaJF, hasa wale wachangiaji mahiri, mnawezaje kubalance kazi, familia na kuchangia JF?

Napenda kuwa mchangiaji mzuri ili nisitumiwe message inayonipassuade nipost kitu humu. Tatizo nililonalo ni kwamba inanichukua muda mrefu kuandika post ili kuhakikisha haina makosa na iko kwenye context. Cha kushangaza kila ninapoandika mchango, naishia kuufuta hivyo kunifanya nisiwe active member. Hata hii message imenichukua wiki kupata nguvu ya kupost hapa, na sijui kama iko kwenye context ya level ya JF. Je nifanye nini ili niwe mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali hapa JF? Je uchangiaji ni kipaji au kuna mbinu za kujifunza ambazo wenzangu mnazitumia?
 
You need confidence with what you think you can do,Nothing more.
 
cha kufanya we tafuta burning issue yoyote then ipost tu kama ilivyo
 
Back
Top Bottom