MMU’s JF Special

Una muda mwingi sana!!
 
Yaani dearest katika maneno yote ninayoandika hilo la bifu ndo uliloona la ku-quote???? ngoja nakutafuta na mimi.

ha ha ha... (oh sorry...)

Mpenzi that message ni ujumbe mzito na wa maana saana...
hua unaongea mengi ya muhimu but of all those quotes/quoted
hakuna ameelezea side effect ya jamvini sometime.. for hata mimi
imenitokea ingawa huwa kwepa saana jamvini nikiona ni shari...

Michelle dear Am sorry kama hujapenda...
 
Una muda mwingi sana!!

Mara nyingi hizo ni kauli za watu ambao kazi ya
week moja anataka afanye mwezi mzima! With
Commitment unaweza fanya vitu vingi kwa wakati mmoja...

Najua wengi wanachukulia jamvi sehemu ya MZAHA...
Am sorry sio hivyo kwangu..

Enjoy
...

BTW... Hakuna quote umependa???
 
Pole sana....Nenda katoe rambirambi zako hapa:

https://www.jamiiforums.com/international-forum/146925-chiluba-is-no-more.html

Habari yangu nzuri sana..... salamu kwa Asha D. Mwambie babu anamuuliza, alikuwa wapi siku zote?
 
Mara nyingi hizo ni kauli za watu ambao kazi ya
week moja anataka afanye mwezi mzima! With
Commitment unaweza fanya vitu vingi kwa wakati mmoja...

Najua wengi wanachukulia jamvi sehemu ya MZAHA...
Am sorry sio hivyo kwangu..

Enjoy
...

Nami nikifungua sredi yangu, hii quote lazima nikurushe nayo...kha!
 
Pole sana....Nenda katoe rambirambi zako hapa:

https://www.jamiiforums.com/international-forum/146925-chiluba-is-no-more.html

Habari yangu nzuri sana..... salamu kwa Asha D. Mwambie babu anamuuliza, alikuwa wapi siku zote?

Asante saaana Asprin.. ulipomgusia tu i knew kua lazima GT watakua wamegusia..
Nimeenda moja kwa moja na kumwaga hasira zangu...lol.. Saizi zimetulia...

Babu Asha D anaogopa kujibu hilo swali.. adui zake wamfuata saana watajua kambi wanilipue...lol
 
ha ha ha... Babu AshaDii on behalf of Asha D will be humbled...
And when ASHAdii is humbled Babu will be double humbled.... isn't it dangerous?
 
And when ASHAdii is humbled Babu will be double humbled.... isn't it dangerous?

HAPANA Babu... Humbled people always live in harmony...
Au wewe muoga wa Amani???
 
Dearest mimi nimependa, una uhuru wa kutoa mawazo yako kama unavyofanya,ninapaswa kuyaheshimu kama ninavyofanya....

hapo nimesema tu,usikwepe shari,kuna watu si vibaya ukawaweka sawa manake wanafikiri dunia inazunguka kwenye vichwa vyao tu...

nakutakia wikiendi njema dearest.
 
HAPANA Babu... Humbled people always live in harmony...
Au wewe muoga wa Amani???
So there is no danger? Kama nimekuelewa vizuri. Hahahah...amani nayo bana ikizidi yaweza leta madhara mengine.... Yaani unajisikia amani kufanya chochote kile... yaani kila kitu amani tu..... hebu jibu PM yangu basi...khaa!
 
Halafu wewe.......

Dawa yako iko jikoni!
 
Michelle this feedbak imeniweka at ease... Nashukuru dear na nitafuata ushauri pia..
Naona sasa ni wakati wa kubadilisha SIGNATURE yangu... hapa jamvini...
Enways i admire and appreciate michango yako pia.. one of the level headed ladies najua jamvini...

Do take care... hav a lovely weekend..
 
So there is no danger? Kama nimekuelewa vizuri. Hahahah...amani nayo bana ikizidi yaweza leta madhara mengine.... Yaani unajisikia amani kufanya chochote kile... yaani kila kitu amani tu..... hebu jibu PM yangu basi...khaa!

NO...No danger at all kukiwa na amani...lol
PM nishajibu... wori not...
Alafu Khaa! ya nini tena???
 
NO...No danger at all kukiwa na amani...lol
PM nishajibu... wori not...
Alafu Khaa! ya nini tena???
Kha ya nini? Kha ni ya khaa...haina mbadala...
BTW hebu cheki na Tume ya mawasiliano watuambie hiyo PM ulontumia imenasa kwenye mkongo upi? Au iko kwenye foleni Magomeni Mapipa?
 
Kha ya nini? Kha ni ya khaa...haina mbadala...
BTW hebu cheki na Tume ya mawasiliano watuambie hiyo PM ulontumia imenasa kwenye mkongo upi? Au iko kwenye foleni Magomeni Mapipa?

Khaa!! Haijafika... Let me check... lol
 
- Rutashubanyuma

  • Mama na machungu anayo pitia uhakikisha ustawi wa mwanae

Ashadii....you are awesome.........................that is what comes immediately into my mind.................................keep it up...........gal............
 
Ashadii....you are awesome.........................that is what comes immediately into my mind.................................keep it up...........gal............

Thanks Ruta, hope you are well and good for umeadimika...
Tena asante... Enjoy...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…