MMU’s JF Special

MMU’s JF Special

kuna watu humu walikuwa wanashusha nondo za uzi kama wewe mpaka ukiona jina lake tu unakimbilia kusoma huo uzi ... lakini sasa siku nyingine dah unajiuliza huyu ndiye yeye au ... anyway nakubali kutoutiana ...

Kumbe siwezi kukulaumu kuja na the conclusion...
Labda unionye what went wrong ili nisifanye the same mistake niwe constant..
For as much as you have tried no disguise it i smell a hint of Pongezi...
And kama kweli ukiona uzi wangu unavutiwa... I am more than humbled.
Thank you by the way...
 
yap, hongera dii,
karibu!
 
Hommie mzima wewe?
Hapa naona unalinda maslahi yako kwa gharama zozote zile!!

haha hommie hicho ndo kinanifanya niitwe MWANAUME au vipi...lol...tofautisha na masharobaro...
hommie mi mzima habari yako binafsi bana....dah
 
ha ha ha ... bahati nzuri ndugu yake, could have sworn hutaki asifie his woman....lol
Kusifiwaa muhimu Ashadii tena raha ya sifa itoke kwa msifiaje na mie namju ndugu yangu wa Ukweli katika hili,
haha hommie hicho ndo kinanifanya niitwe MWANAUME au vipi...lol...tofautisha na masharobaro...
hommie mi mzima habari yako binafsi bana....dah
hahahaha nakukubali kiongozi sharobaro badala ya kusifia anapiga mzinga lol
Habari yangu binafsi nzuri bana
 
umeona eeh beib,

He KNOWS his boundaries...ndugu yangu wa karibu sana, yaani wa ukweli....he knows what I stand for....LOL

Mimi am old fashioned as much as nilikupenda at first sight ...
ndo maana kabla sijasema YES.. I secretly mshawishid PA anipe backgroud/feedbak yoote ya home..
Dah! i was impressed with the family/friend and jamaa resume... then I knew you are the ONE!! lol
 
Kusifiwaa muhimu Ashadii tena raha ya sifa itoke kwa msifiaje na mie namju ndugu yangu wa Ukweli katika hili,

Najua watambua hilo...lol.. kama ulivyosema..

  • Worry not I am not biting –
Kimey
 
kuna watu humu walikuwa wanashusha nondo za uzi kama wewe mpaka ukiona jina lake tu unakimbilia kusoma huo uzi ... lakini sasa siku nyingine dah unajiuliza huyu ndiye yeye au ... anyway nakubali kutoutiana ...
Madabwada, hivi great thinker anatakiwa awe serious masaa yote haata asijoke around?? kama alitoa point ukaiona ina maana siku nyingine akajoke kidogo baaaasi, unachukua ile joke na kum judge?? mie natofautiana na wewe, chukua cha sasa hivi usisubiri siku anajoke ndio uone kaongea pumba, mie sipendi watu wako serious masaa yote hata kwenye discussion za shuleni
 
Kudadadadadadeki wallahi!

Yani Ashadii mi ndo umeshindwa kunifagilia? Kuanzia sasa ntakuwa namwaga mapointi tu ili nami unirushe hewani kama FM academia.

Usikonde mkuu hata mie nimechakachuliwa....
 
Ashadii umenitenda...Hivi Babu wa Samunge ana kajuju eehhh?

Sio hivyo Magulumangu, wewe ni mmoja wa wanafamilia bila ubishi na pia ni ukweli
usiopingika kua ni moja ya watu nina bahati mbaya saana nao... Siku nikirusha thread
haupo jamvini... kuna wachangiaji wengine ambao ningependa saana wangekuwepo
katika hio list kama vile Mwanajamiione, MTM, Magulumangu, Mulama, Wit, Willbard
na wengine weengi... but hawa watu sijawahi pata michango yao sababu kubwa ikiwa
kua hawapo... ( I presume...)

Hivyo naomba nisamehe sijachakachua...lol
Pamoja saana
AshaDii
 
Sio hivyo Magulumangu, wewe ni mmoja wa wanafamilia bila ubishi na pia ni ukweli
usiopingika kua ni moja ya watu nina bahati mbaya saana nao... Siku nikirusha thread
haupo jamvini... kuna wachangiaji wengine ambao ningependa saana wangekuwepo
katika hio list kama vile Mwanajamiione, MTM, Magulumangu, MTM, Mulama, Wit, Willbard
na wengine weengi... but hawa watu sijawahi pata michango yao sababu kubwa ikiwa
kua hawapo... ( I presume...)

Hivyo naomba nisamehe sijachakachua...lol
Pamoja saana
AshaDii

Usijali ni mkwara tuuu....maana nimeona Aspirini kawaka nikaona ngoja na mie nirushe jiwe....
 
Back
Top Bottom