AD dear the post is beautiful ....
ADI reciprocates a 100%
Naamini you are doing good and being a good gal...
teh teh teh ..
asantee ..
im doing ok .. baridi imezidi teh teh
Hujambo lakini dear??
unapenda kuitwa ADI..
naona Mzee DC kalipenda kweli hilo jina hahahah lol
Mi mzima wa afya... nasikitika tu kua
Nakuonea wivu... napenda sehemu za baridi...
Hapa Mzee DC alinifaa sana kuweka jina ktk mfumo huo wa ADI...lol
Nikaona kapatia kabisaaa!!
Mkuu mbona hapa naongea na unasikia... Mdomo si kazi yake kufikisha ujumbe...lol
haya dada naona mambo ya kujigubika from the head to the toe...nahisi itakuwa burkha hiyoha ha ha .... sasa nimekupata.. basi ondoa wasi wasi Sherrif hapa Lips hamna...
Duh! Una kumbukumbu sana. Can't remember even remember when, where and why I said that. Thanks.
Mambo my co-worker umeni-quote out of context kinadada hawatanielewa.
Madabwada, hivi great thinker anatakiwa awe serious masaa yote haata asijoke around?? kama alitoa point ukaiona ina maana siku nyingine akajoke kidogo baaaasi, unachukua ile joke na kum judge?? mie natofautiana na wewe, chukua cha sasa hivi usisubiri siku anajoke ndio uone kaongea pumba, mie sipendi watu wako serious masaa yote hata kwenye discussion za shuleni