EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
MMUs JF Special
Some JF member Quoutes I Love (MMU)
Katika threads mbali mbali hapa MMU watu hutoa Michango mbali mbali ambayo hufurahisha, elimisha, kosha, imarisha na saa ingine hata kukwazisha But all in all most ya michango hubeba ujumbe mkubwa saaana ambao ingawa wakati mwingine huchukulia kama mzaha but ujumbe behind the mzaha hua muhimu.
The following are some of the best quotes (kwa upande wangu) kutoka katika three of my threads Take NOTE kua hazijapangwa kulingana na ubora wa hio quote.. hivyo ya mwisho yaweza kua bora kulika ya kwanza katika huu mpangilio..
Hata hivyo most kuna quotes zao nyiiingi zimenifurahisha ila niliona its beta I withdraw to most ambao nilibahatika kupata michango yao
- EMT
- Social Media imefanya mwananchi wa kawaida kua journalist
Duh! Una kumbukumbu sana. Can't remember even remember when, where and why I said that. Thanks.