MMU’s JF Special

MMU’s JF Special

ukishalewa what do u do often ????
Umewahi kulewa na usikumbuke kilichotokea ???????
Hakuna siku hata moja nakunywa iasi hicho, kwanza sinywi nyingi, nahakikisha ninakunywa kiasi ili isinisumbue, na ni ijumaa na jumamosi tu
 
ha ha ha...

Gaga femininity hadi kwenye kunywa??? Enzi zangu nilikua nakaa kwenye stuli ndefu na chupa kabisaaa!! lol
Mwenzangu eti naonaga aibu, ila nikipita baa zetu huku mtaani napata tu
 
Mwenzangu eti naonaga aibu, ila nikipita baa zetu huku mtaani napata tu

Inategemea mtoko.. ukitoka na galfriends mi naona pouwa tu,
Mkitoka causual with your man as the way mmedress na mahala penyewe pouwa tu,
Ila ukitoka nae ki formal kidogo... ni vizuri ukawa kidogo feminine...hapo nakuunga mkono...lol
 
Excellent wako wangapi?If is me i can't believe yet
 
Umeniangusha gaga

mimi napenda mdada anywe mpaka azimike lol
it sexy sometimes.....lol

These statements... these statements ndo mie nakushauri uache ili siku nyingine quote isiwe hio...
 
Inategemea mtoko.. ukitoka na galfriends mi naona pouwa tu,
Mkitoka causual with your man as the way mmedress na mahala penyewe pouwa tu,
Ila ukitoka nae ki formal kidogo... ni vizuri ukawa kidogo feminine...hapo nakuunga mkono...lol
Kwa kweli kuna sehemu ni noma
 
Thanks much Ashadii,I would thank you from the bottom of my heart, but for you my heart has no bottom.

You are welcome na i thank God i have a sharp memory for ungenikamata pabaya...lol
Just a Thank you will do... Excellent..
 
looooo pole sana mie sio type hiyo
akizimika unambeba hadi kwao?

ha haaaaaaaaaaa
kwa hiyo hicho ndo kinakuogopesha kuzimika sio???????
We ukilewa utakuwa unakua mkorofi...

Akizimika namrudisha kwao lol
 
ha haaaaaaaaaaa
kwa hiyo hicho ndo kinakuogopesha kuzimika sio???????
We ukilewa utakuwa unakua mkorofi...

Akizimika namrudisha kwao lol
Mie sio mkorofi hata kidogo, ila wewe unaonekana huwa unang'ang'ania sana bar ukilewa na kuimba mapambio watu wa bara ndivo walivyo
 
Mie sio mkorofi hata kidogo, ila wewe unaonekana huwa unang'ang'ania sana bar ukilewa na kuimba mapambio watu wa bara ndivo walivyo

i wish ningekuwa hivyo aisee.....lol
but niko very shy kwenye public....

huwa natamani siku moja nileeewe halafu nicheze mziki bila
kufuata mdundo,,,lol
yaaani ni kucheza mpaka unavua shati hivi lol
 
i wish ningekuwa hivyo aisee.....lol
but niko very shy kwenye public....

huwa natamani siku moja nileeewe halafu nicheze mziki bila
kufuata mdundo,,,lol
yaaani ni kucheza mpaka unavua shati hivi lol
wanywa juice utawajua tu
 
Back
Top Bottom