Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Imetulia hiyo ya @25 taa inaanza kuwaka kuashiria umechelewa. Nimecheka hapa mpaka naamsha watu chumbani mwenzenu jamani! sijui huyu aliwaza nini.
Imetulia hiyo ya @25 taa inaanza kuwaka kuashiria umechelewa. Nimecheka hapa mpaka naamsha watu chumbani mwenzenu jamani! sijui huyu aliwaza nini.
Asha, naomba popote pale utakapowaona Gaga na Dena,
waambie kuwa niwaagizie bia gani huku........?
za moto au baridi?
Tatu tu?nakupita aisee mie tano namaliza nikipaniatatu hivi.....
all my friends wanywaji..so kampani tu....
otherwise ...sinywi....
Bacha bana hueshi vituko wewe haya nimeamka sasa haya sema
Mtu wako pacha wako mtata Faiza umemsahau!
Asha we kiboko! kwa msisitizo nasema tena na tena....'hata kama nina mihasira nikiingia MMU roho yangu inakuwa bariiiiiiiiiidi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Woowwww! Ashadii, asiyekubali cjui tumwiteje, hizo nyuzi zilitisha mazee, zilichangiwa bana, we ni mkali aisee, pamoko sana.
Exactilly my lvly dada!Thats why i lv u!!For any person to live is to make those/what surrounds you your world...Yes broda if you look ... the world is still here!
Hivi huyu Chiluba si ndo alimng'oa Kaunda madarakani?
RIP Chiluba.