Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Kwa kifupi kanisa linahitaji wana kondoo zaidi, wachungaji wa kuwachunga wapo
amen
Kwa kifupi kanisa linahitaji wana kondoo zaidi, wachungaji wa kuwachunga wapo
amen
Hahah!! hii ndo jf kiongoziJICHO ... hili neno nilipligundua maana yake aseee nilicheka sana..
" Kipozeo " ndo nini?
mie bado naiwaza nmeikuta humu MMU!!haya wakongwe wa lugha yenu ya ki-jf jf njooni hapa mtoe msaada
tuwasubili wataalamu watakuja tu kutupa maana ya '' kipozeo''mie bado naiwaza nmeikuta humu MMU!!
MMU mimi hupaita jukwaa la Maradhi ya Moyo na Utu.
Ukitaka ugonjwa wa moyo au wa utu wako, tembelea sana MMU.
Kweli kabisa. Ila warubuniwaji tumeshatosha. Evelyn Salt ongeza 'warubuni' tu.
Mh! Umepachanganya na siasani aisee!
Ewaaah.
Hapana, siasa ni stress free.
Huku MMU ni majanga!
Mara mtu anakuja anamzini dada'ke!
Mara mtu anakuja anazini na mke wa mtu!
Mara mtu anakuja kujisifu eti kaenda na mwanamke bar kulewa kamtoroka kamwachia bill, alifikiri kuna cha bure?
Mwengine sijui ananyimwa na watu amani.
Hayo kama si Maradhi ya Moyo na Utu ni nini?
Siasa unapewa za uso na wewe unampa mtu za uso mkitoka hapo kwisha, kesho raundi nyingine. Hamna ugonjwa wa moyo wala kukimbiana na bili (gonjwa la utu).
That is my perception.
Kipozeo ni kazi ya nje almaarufu mchepuko" Kipozeo " ndo nini?
Ahsante kunijuza, Jee kazi hiyo hudumu mda gani?Kipozeo ni kazi ya nje almaarufu mchepuko
Ahsante kunijuza, Jee kazi hiyo hudumu mda gani?
Wee ES,Wewe tu na maamuzi yako hata ukitaka hadi kifo kiwatenganishe
Wewe tu na maamuzi yako hata ukitaka hadi kifo kiwatenganishe
Ujue huwa kinapanda daraja ndo maana jina la kipozeo halidumumh! kipozeo huwa hakina lifespan ndefu hivyo! #sijuiLakini
Wee ES,
Lakini ukiwa kazini si unapewaga likizo na day off, nk. So why kifo kihusishwe hapo?
Kipozeo ni kazi ya nje almaarufu mchepuko
Swadaqata ES !!Tofautisha hii ni "kazi ya nje" yani ni sawa sawa na kazi yako ulioajiriwa afu na kazi binafsi uliyojiajiri mwenyewe
kazi ya kuajiriwa ndo una off na likizo baaaab
Swadaqata ES !!
basi ntatafuta Kazi ya nje ya ndani ninayo!!