Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,713
Maneno mapya hapa jfHaya ni mpya kwako eve au sijakuelewa.
Maneno mapya hapa jfHaya ni mpya kwako eve au sijakuelewa.
kanisa la 'threesome' halijaanzishwa?
Halipo ila ukiamua unachukua wapendwa wawili "mnafahamiana" kwa namna hiyo
hebu tafuta mpendwa mmoja na mie wapili tumalize hilo zoezi chap
Kwato=Ukwato=K=Papuchi
swit sasha na wewe mnatosha kabisa
swit sasha .....tunakukaribishaOkay mpe huo mrejesho
hee mlango wa kuzimu ndio naiona kwako tena duhhh...nahisi ni 0713 hiyo
Najifunza vitu vingi sana hapa jf(Mmu) ikiwemo vijimaneno ambavyo sikuweza kukutananavyo mtaani ninapoishi, maneno hayo ni kama papuchi, mlango wa kuzimu na n.k.
Bila kupoteza mdaa ningependa kujua ni neno gani ulilokutananalo Jf especially MMU ambalo hukuwai kukutananalo mahala pengine popote bali ulikutananalo jukwani MMU.
Kitumbua bin mbochikyumaa
Umeshafanyiwa ukagu swit sashaMrejesho
swit sasha .....tunakukaribisha