Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mwadera ES !! mie mwenyewe mchunganji utanifanye jibuzi?Ya kazi gani sasa zaidi tu ya kuwa na uhakika wa maisha tu kwako
kukuchuna na kukufanya jibuzi meeeeeeee
Mwadera ES !! mie mwenyewe mchunganji utanifanye jibuzi?Ya kazi gani sasa zaidi tu ya kuwa na uhakika wa maisha tu kwako
kukuchuna na kukufanya jibuzi meeeeeeee
Utafanywa jibuzi tu tulia na mkeo mfurahie maishaMwadera ES !! mie mwenyewe mchunganji utanifanye jibuzi?
Haswa !! ubarikiwe sana..Utafanywa jibuzi tu tulia na mkeo mfurahie maisha
mbunyeKipochi manyoya hivi ndio nini?
Ujue huwa kinapanda daraja ndo maana jina la kipozeo halidumu
mara nyingi unapanga kiwe kipozeo ila ukigusa unanata status inabadilika kinakua mchepuko
kinazidi kukupa mambo motomoto huduma za kiwango cha juu kabisa na raha za kukata na shoka status inabadilika kinakua kimada kinazidi kukupagawisha na kukurusha rusha kama popcorn unakiita nyumba ndogo
sasa unadhani hii process ni ya mwezi mmoja thubutuuu muulize hata Asprin na hapo hakijaenda kukuvuruga akili kwa mtaalamu
Kipozeo ni kazi ya nje almaarufu mchepuko
Wewe tu na maamuzi yako hata ukitaka hadi kifo kiwatenganishe
Ujue huwa kinapanda daraja ndo maana jina la kipozeo halidumu
mara nyingi unapanga kiwe kipozeo ila ukigusa unanata status inabadilika kinakua mchepuko
kinazidi kukupa mambo motomoto huduma za kiwango cha juu kabisa na raha za kukata na shoka status inabadilika kinakua kimada kinazidi kukupagawisha na kukurusha rusha kama popcorn unakiita nyumba ndogo
sasa unadhani hii process ni ya mwezi mmoja thubutuuu muulize hata Asprin na hapo hakijaenda kukuvuruga akili kwa mtaalamu
Tofautisha hii ni "kazi ya nje" yani ni sawa sawa na kazi yako ulioajiriwa afu na kazi binafsi uliyojiajiri mwenyewe
kazi ya kuajiriwa ndo una off na likizo baaaab
Ya kazi gani sasa zaidi tu ya kuwa na uhakika wa maisha tu kwako
kukuchuna na kukufanya jibuzi meeeeeeee
Utafanywa jibuzi tu tulia na mkeo mfurahie maisha
Bila shaka tutaanzia pm na kumalizia kwenye missed calls....Naona hapa leo umeamua kuweka kambi... Hamna cha mabadiliko wala nini.... Kazi tu.
Hebu njoo PM tutete kiutu uzima.
Bila shaka tutaanzia pm na kumalizia kwenye missed calls....
nakuja sikatai wito wala sikatai lisemwalo
"sitakuangusha"
"Majaribu ni mtaji wa kuongeza Imani"Kwanini mnapenda kuniamshia shetani napoamua kuwa karibu na Mungu??
Mi siku hizi nimeacha hayo makitu. Labda itokee tu.
Kama unabisha nijaribu uone...:glasses-nerdy:
shaka ondoa ukichoma tutakula woteHaya sasa ndio maneno ya kiutu uzima. Missed calls zishapitwa na wakati.... ntakuwozap kwa ajili ya mipango mikakati.
Hebu ufanye haraka maana baioloji yangu tayari ishaanza kupraktiz fiziks.
Ole wako unichomeshe mahindi. Ntakupotezea kama nlivyompotezea Madame B
shaka ondoa ukichoma tutakula wote
Ama kweli walisema dalili ya mvua ni mawingu.
Ngoja nimtafute mfariji wangu Guinness nipoteze mawazo mie.
Naona hapa leo umeamua kuweka kambi... Hamna cha mabadiliko wala nini.... Kazi tu.
Hebu njoo PM tutete kiutu uzima.
Bila shaka tutaanzia pm na kumalizia kwenye missed calls....
nakuja sikatai wito wala sikatai lisemwalo
"sitakuangusha"
Hommi shetan akizeeka anakuwa nan
Cc Evelyn Salt