"MMU Misses you Sooo Much"

nawamiss sana Gaga na Maty


Hawa ladies woote ni wazima wa afya....

Gaga - Source: PM
Maty - Source: "Likes"

Ila jamani we want you jamvini na michango yenu... We MISS you Jamani.
 
nammiss sana Yeshua hamalech,Pearl,beauty,smiles,ZD,carmel,zakumi, na wengine wengi


Nimewahi kutana na Smilie mara moja tu! But she had made an impression on me and i wish to see her too.... ila Carmel yupo ila kwa nadra mno!!
 
Nimewahi kutana na Smilie mara moja tu! But she had made an impression on me and i wish to see her too.... ila Carmel yupo ila kwa nadra mno!!

smiles ametoweka sana AD,nina wasiwasi na hizi multiple ID's zinatupotezea Id tulizozizoea
 
Hawa wakuu sijawasikia kitambo na namiss sana michango yao, HashyCool, Kaka Mohamed Shossi, Yeshua Haarmalech, Mkwaruzo, Prodigy Son, Young Corporate na wengineo. Najua maisha yana purukushani zake na challenges zake za kila siku, lakini kama alivyosema AshaDii tunawamiss sana.
May God bless you all


Mohammed Shossi alirudi mpaka akafungua uzi chit chat kua he is back... thou nikitambo saa sijui imekuaje tena...
 
mayasa...dah!...nalimiss hili jembe.
huyu kiumbe mayasa sijui yupo wapi!.popote alipo Mungu amtangulie kwa kila alifanyalo afanikiwe.amen.
HUSNINYO alaaniwe milele na siku ya mwisho aingie moto wa jehanam.
NAKUPENDA SANA ASHADII...
roger

Mkuu Mageuzi huyo dada adimu kweli... thou nina bahati ya
kumuona nikirusha uzi... I am hoping huu uzi utamtoa pangoni...lol...
Husny mwanangu kakukosea nini jamani?? Hebu msamehe basi....

On a serious note; I am humbled kua unanipenda... Thank you.
 
Hawa watu sijui wamepotelea wapi jamani.

Gaga
Shossi
Mentor
Maty
Fixed Point
Lizzy
Gagurito
Michelle

Jamani nilimsahau Shossi... naongeza majina ya hawa nilisahau....

  1. Kaka Mpendwa
  2. Willbard
  3. Nnunu
  4. Pauline
  5. Son of Alaska
 
hivi Mynameisyourname yuko wapi jamani nae,no name je?Kiranga pia nammiss bila kumsahau genekai,mom,shishi,oh cheusi mangala!
 
now u ar tempting me. me lov u more bigi, kweli kabisa!
and me miss ur 'duuh,aiseeeh' thing
Aseeee!!
Duh!!!
Bigi amezeeka sasa!! haina budi kupumzika.
Bigi amemwachia The finest..
Bigi anapumzika.
Bigi anakunywa biya na Fidel na Teamo,
Bigi Anamkaribisha RR kitimoto
Bigi hataki makabaila kaizer na Asprin
Bigi anawapenda sana akina King'asti na AshaDii
Lakini Bigi amepumzika, imempasa kufanya hivyo. utu uzima dawa!!
 
wakikukamata wanapigiana simu
twende tukamchinje mtu leo...lol ujue umeumiaa lol
Alaaa kumbe ndio maana nilisikia binti mmoja anaongea na simu anamwambia mwenzake kuwa jana kachinja sasa watu wakawa wanashangaa nikiwemo mimi sasa nimeelewa alikuwa anamaanisha nini lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom