MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

hebu twende taratibu kwanza...hiyo late hours ni muda gani haswaaa....??? Hili tatizo lazima nihakikishe nalisolve hata kwa kusimamisha saa zote za baba nanihiii!!

kuanzia saa 12...yaani giza tu sitakiwi linikute nje ya nyumba
 
Akhsante sana kutambua uwepo wangu mie hadi now niko kwenye list ya watakaokuwemo kwenye party, nitakuwa na swahiba wangu tulibambana humuhumu nitakuwa bennet nae na sitamruhusu akumbatiwe na mwingine. Tutakuwa in full white hadi viatu na hatutalala hapo baada ya party tutalala somewhere else, somehow hatutajionesha wazi kuwa mie ni sakapal na my partner s......l heee! leo ndo nimeona kuwa majina yetu yanaanza na herufi sawa na yanaishia na herufi sawa. Tuta appear kama haloweeens party tutahide id zetu so as to maintain the anonymity.

Ila nivea umenifurahisha sana, wanaume wanawivu mno wala mahari aliyotoa haimsumbui mumeo anakupenda usimtoroke utaharibu ndoa we hii party ishiriki kwa simu yako tuu ukiwa home au kwa laptop yako usipoweza kumuaga na kupewa ruhusa, kuliko uje kesho yake na msaada wa ushauri wa matatizo ya ndoa bora ushiriki ukiwa home kwako.

Labda ombi pia kwa Lara 1 na gfsonwin kama waandaaji wa party hii kungekuwa na mtu ambaye atakuwa anarusha matangazo hapa na kuelezea matukio ya jinsi party inavoendelea ili hata kwa walio nje ya nchi na nje ya jiji la Dar waweze kushiriki kwa kuchangia na kupata utamu wa party hiyo, kama vile unavofanyaga ile MMU EXCLUSIVE LIVE na watu full kujimwaga ila camera zisiruhusiwe maana kama tunaruhusiwa kujiachia tafadhali mkiruhusu kamera mjue jumatatu yake MMU itajaa waomba ushauri kuliko watoaji ushauri.

Nawakilisha, pamoja sana.

Mbona umeonesha woga sana??

Unadaiwa na mtu au umepora mali ya mwenzio??

Babu DC!!
 
Babu DC,
Huyu mtu Kongosho tulikutana naye Pangani anahudumia hoteli, akataka kutuuzia Chips Harage baada ya mayai kuisha...

Kwani naye amakuwa kama jini??

Haya bwana.....naona mnanizuga kwa kuwa nilikwepa kwenda Pangani...

Babu DC!!
 
Sasa mbona hadithi zao zote ni za kukimbilia kujificha vyumbani kama vifaranga wa kuku?

Wewe ndo umeruhusu hayo ma kitu???

Kwenye trip yetu Ta hatukuruhusu watu kutia najisi nia yetu njema ya kuwa pamoja....

Babu DC!!
babu hakuna atakaye ingia chumbani wala hakuna atakaye najisi dhamira yetu njema. sisi hapa ni mwendo wa kuparty mpaka majogoo lol!
ila tu wataruhususiwa kuingia kwenye executive lounge at cheaper price than normal hii ni ofa tu ili baadhi ambao wamezoea kunywea vichochoroni waone mujini pakoje lolz!!
 
Mbona umeonesha woga sana??

Unadaiwa na mtu au umepora mali ya mwenzio??

Babu DC!!

Hapana siibi wala sijaiba cha mtu mie, nimejaribu tu kufikiria mbele baada ya kuona jinsi watu walivochangia hasa kuhusu partner. Shaka ondoa kuhusu mie niko fit kama mnyamwezi original.
 
kuanzia saa 12...yaani giza tu sitakiwi linikute nje ya nyumba

Tatizo nishalisolve mama, kama muda ni huo basi kwenye PARTY utatokeamo...will drive you kwenu kabla ya muda huo hata kama ni MOROGORO
 
Karibu sana!
Akhsante sana kutambua uwepo wangu mie hadi now niko kwenye list ya watakaokuwemo kwenye party, nitakuwa na swahiba wangu tulibambana humuhumu nitakuwa bennet nae na sitamruhusu akumbatiwe na mwingine. Tutakuwa in full white hadi viatu na hatutalala hapo baada ya party tutalala somewhere else, somehow hatutajionesha wazi kuwa mie ni sakapal na my partner s......l heee! leo ndo nimeona kuwa majina yetu yanaanza na herufi sawa na yanaishia na herufi sawa. Tuta appear kama haloweeens party tutahide id zetu so as to maintain the anonymity.

Ila nivea umenifurahisha sana, wanaume wanawivu mno wala mahari aliyotoa haimsumbui mumeo anakupenda usimtoroke utaharibu ndoa we hii party ishiriki kwa simu yako tuu ukiwa home au kwa laptop yako usipoweza kumuaga na kupewa ruhusa, kuliko uje kesho yake na msaada wa ushauri wa matatizo ya ndoa bora ushiriki ukiwa home kwako.

Labda ombi pia kwa Lara 1 na gfsonwin kama waandaaji wa party hii kungekuwa na mtu ambaye atakuwa anarusha matangazo hapa na kuelezea matukio ya jinsi party inavoendelea ili hata kwa walio nje ya nchi na nje ya jiji la Dar waweze kushiriki kwa kuchangia na kupata utamu wa party hiyo, kama vile unavofanyaga ile MMU EXCLUSIVE LIVE na watu full kujimwaga ila camera zisiruhusiwe maana kama tunaruhusiwa kujiachia tafadhali mkiruhusu kamera mjue jumatatu yake MMU itajaa waomba ushauri kuliko watoaji ushauri.

Nawakilisha, pamoja sana.
 
mdogo wangu sitak kuskia hii habari ya wewe kuwa mkubwa lol!
wasije wakakukuza bure kwa nyembe zao za gillet wakati wewe hata hujui mataumiz yake sawa?

Haaa..mi nkiwa mtoto Gwin atakua nani!??

We kijana mbona huna nidhamu.................

Samahani kaka..khe khe..kumbe nmegusa panapo!???
Jamani Mentor, hivi umesahau kwamba kule kwenye chimbo la miwa ule mwezi wa Msiba ulikuja na chupa ya nyonyo!!!!!
Sasa niambie umekua lini?

Tangu mwaka ule mpaka leo wacha kabisa aisee nsikuambie maskendo ( mzabzab atayaita mazali ya metali a.k.a mige...) yalionitokea tangu kipindi kile...
Alafu nyie watu mmenifanya kila nkiona dompo napata kiu yani huez amini!
BTW da @gfsowin kama hiyo party hakutakuwa na dompo siji!
 
Last edited by a moderator:
haaa..mi nkiwa mtoto gwin atakua nani!??

Samahani kaka..khe khe..kumbe nmegusa panapo!???

Tangu mwaka ule mpaka leo wacha kabisa aisee nsikuambie maskendo ( mzabzab atayaita mazali ya metali a.k.a mige...) yalionitokea tangu kipindi kile...
Alafu nyie watu mmenifanya kila nkiona dompo napata kiu yani huez amini!
Btw da @gfsowin kama hiyo party hakutakuwa na dompo siji!

unaona sasa!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani we Mentor soda za azam hutumii? Karibu sana!
Haaa..mi nkiwa mtoto Gwin atakua nani!??

Samahani kaka..khe khe..kumbe nmegusa panapo!???

Tangu mwaka ule mpaka leo wacha kabisa aisee nsikuambie maskendo ( mzabzab atayaita mazali ya metali a.k.a mige...) yalionitokea tangu kipindi kile...
Alafu nyie watu mmenifanya kila nkiona dompo napata kiu yani huez amini!
BTW da @gfsowin kama hiyo party hakutakuwa na dompo siji!
 
Last edited by a moderator:
babu hakuna atakaye ingia chumbani wala hakuna atakaye najisi dhamira yetu njema. sisi hapa ni mwendo wa kuparty mpaka majogoo lol!
ila tu wataruhususiwa kuingia kwenye executive lounge at cheaper price than normal hii ni ofa tu ili baadhi ambao wamezoea kunywea vichochoroni waone mujini pakoje lolz!!

Nakuamini sana teacher wangu...

Ila hapa naona dalili za animal farm....na kukumbuka yale maneno yao matakatifu...

1. All animals are equal, but some are more equal than others...

2. No animal shall be allowed to sleep on the bed or drink alchohol...but only with special permission..!!

Ndiyo itakavyokuwa??

Babu DC!!!
 
Hapana siibi wala sijaiba cha mtu mie, nimejaribu tu kufikiria mbele baada ya kuona jinsi watu walivochangia hasa kuhusu partner. Shaka ondoa kuhusu mie niko fit kama mnyamwezi original.

Babu asema....amina!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
itabidi mchUngaji na sheikh waombee kabla ya huu mtanange kuanza! i can smell blood from far away! lol
 
Back
Top Bottom