MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

we kazana kuthink, wenzio wanatawanya marinda kila moja kwake! achana kabisa na walaghai wasusuo huku wamesimama! ni viumbe wengineeeeee!

aisee!!!!na-smell mambo matamu kwakweli na naomba nikiri wazi kwamba sasa nimehamasika vya kutosha na mahudhurio yangu siu hiyo ni hakika!
 
he he he, usiniambie babu ni dokta wa tetenasi?

Tanga hukuona mtu mreefu kama watu8?

Hapa sasa inabidi nitumie akili ya 1947....

Nikiripoti hili tukio tu...tutakuwa tumekupoteza.....

Ngoja nimsubiri dogo (@watu8) aje ajibu tuhuma....

Babu DC!!
 
Nilitaka kumtuma wife aniwakilishe lakini hili suala la vyumba limenifanya nikasitisha hilo zoezi

Wyf wa nini wewe, Kuya menyewe menyewe bhana, Baba V atakuwepo, kusaidia kurudisha Ndoa zilizovunjika.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi kwa kweli una adabu isipokuwa unatakiwa kuacha tabia ya kulowea lile jukwaa la picha zenu za ajabu ajabu, kule downstairs!!

Hivi mangoma ndo nini?

Kama una maana ya muziki, basi mie kucheza ni kawaida yangu....

Kama unataka ushuhuda basi wasiliana na mwenyekiti PakaJimmy na mzee mwenzangu Blaki Womani...

Babu DC!!

Babu, Me nimekuwa Mkubwa Bhana,
Nataka nijifunze.
 
Si baada ya tukio ka Chumvini Babu............Unafikiri ilikuwa bure????
Hako kajukuu kako Kongosho kenyewe jana nimekafuma chimbo kanasokota Msuba m-bichi,
Afu unamwamini anaposema kuwa ameacha , Ooohooooooooooo.....!!!!!!!!!!


Kumbe bado Kongosho anapuliza.....???

Huyu lazima kumtafutia dawa haraka sana!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu, Me nimekuwa Mkubwa Bhana,
Nataka nijifunze.


Sasa na wewe unaanza kuharibu....

Tumeshakupa title kwamba wewe sasa ni mkubwa...

Halafu unakuja na kauli kama hizi kwamba unataka kujifunza...kitugani hicho tena usichokijua??

Yaani hapa umejirudisha hatua 100 nyuma!

Babu DC!!
 
he he he, usiripoti tukio lolote hapa

zombie anajua ID yangu 🙁

Hapa sasa inabidi nitumie akili ya 1947....

Nikiripoti hili tukio tu...tutakuwa tumekupoteza.....

Ngoja nimsubiri dogo (@watu8) aje ajibu tuhuma....

Babu DC!!
 
Boflo hajaalikwa!!! Massage palour vipi? available?
 
Last edited by a moderator:
Khaaa....nina wasiwasi wanawake wengine sio kuwa mmeolewa bali mnafugwa.

hahahahahaha wenzako wanajua kupenda sio kufuga hahahaah kwangu kawaida tu.as long asa napata kila kitu.ukichelewa mahali unakuta kibao mlangoni COMING AT LATE HOURS IS ILLEGAL
 
Hapa sasa inabidi nitumie akili ya 1947....

Nikiripoti hili tukio tu...tutakuwa tumekupoteza.....

Ngoja nimsubiri dogo (Watu8) aje ajibu tuhuma....

Babu DC!!

Babu DC,
Huyu mtu Kongosho tulikutana naye Pangani anahudumia hoteli, akataka kutuuzia Chips Harage baada ya mayai kuisha...
 
Last edited by a moderator:
Sina tatizo na wewe teacher wa ukweli...

wasi wasi wangu ni hawa watoto ambao naona kama maneno yakaribia kupiku vitendo...

Babu DC!!
shaka ondoa babu wala usijali mm ndiye logistics manager na nina ratibu kazi yote mpaka atakaye taka kurudidhwa kwao mm nitamrudisha lol! na wote wataondoka salama salmini shaka ondoa kabisa.
 
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!

Yah! Yah! Yah! Peopleeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Najua mmeingia humu kutoa ushauri na nini ila mwaka kabla haujafika katikati ni vema kwanza tukapongezana wana MMU wote Wapya, Wazamani na nyie Guest msioisha kuchungulia humu! kwa ushauri mzuri tunaopeana, Makavu live tunayopeana, Stress tunazopunguziana, na vituko vyote na mabobish bobish tu ya hapa na pale!!!!!! Kila mtu ana umuhimu humu, na hata akipungua mmoja it will never be the same kwenye Lafamillier!!!!!

Haipendezi mtu unakuja humu kushauri shauri na nini alafu kwenye mijumuiko ya kuonana unajikaushaaa! Haihuuuuuuu kabisa hiyo!!!!!!! Nishasema HAKUNA ALIE MSAFI sasa wasiwasi wako nini???????? Acha mambo zako kabisaaa!!!!!! Njooni wote tujumuike na kufurahia NEW YEAR!!!!!!!!!!!!

Mama gfsonwin, The Teacher!!! jamani kajitoaaaaa KUMAKE THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!!! Kwa ufadhili mnono anakuleteeni THE ONE AND ONLY JF WHITE PARTY!!!!!!!!!!! Party of all Parties!!!!!!!! Usibonyezeeee kabisaaaaaa!!!! Pati la kukaribisha 2013 at MMU!!!!!!!!! kwa KAUCHAKAVU KADOGO TU KA 20,000/= Food and beverages inclusives!!!!! Khaaaaaaaa!!!!!!!
Watu CLASSIC tu, na mambo ya Kiutuuzima zaidi pale KEBBYS HOTEL!!!!!!! 26/1/2012 (Under 18 msije mda wenu bado!!!!!)

Mambo ya Ukweli na Uhakika!!!!!!!! Totoz za Jf zote ndani in FULL WHITE!!!!!!!!! Pale Ciello (Katoka Chugga special for the party jinsi alivo party people)!, amu, Surprise, Lara 1(Transfer langu la Mwanza silishughulikii ni kujipanga na Party tuu), Evelyn Salt, Smile, Kipipi, Madam B, Kaunga, Preta, sakapal na Kamsweetie na wengine KIBAOOOOOOO!!!!!! Tushatoa RESERVATIONS zetu VIP karibu na Max na Mike (Ukichagua nyama chagua iliyonona!) HAPANA CHEZEYA KABISAAAA!!!!!!!!!

Wakaka nao ndo usisemeeee! The Boss, Mkatakiu, Nicas Mtei, Baba V, Asprin (anaendeleza ukaguzi wake), Prisoner 46664 (Patachimbika mbonaaa), Zogwale, Mtambuzi, SnowBall (Ana hazina ya box huyu si wakcheza nae mbali!, Father of All, watu8 (Anakuja kwa raha leo!) Mazabzab nae anaendeleza ugegedaji katokea Tanga special kwa hii shughuli!!!!!!!!

ITS GONA BE BANANASSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PEOPLE SHOW SOME LOVE TO gfsonwin!!!!!!!!!! KUJENI KWA PARTY!!!!!!!!!! SI YA KUKOSA AISEEEEEE!!!!!!!!! PM GFSOMWIN FOR RESERVATIONS!!!!!!!! Nafasi ni chache nishasema kitu Classic kile!!!!!!!!

Akhsante sana kutambua uwepo wangu mie hadi now niko kwenye list ya watakaokuwemo kwenye party, nitakuwa na swahiba wangu tulibambana humuhumu nitakuwa bennet nae na sitamruhusu akumbatiwe na mwingine. Tutakuwa in full white hadi viatu na hatutalala hapo baada ya party tutalala somewhere else, somehow hatutajionesha wazi kuwa mie ni sakapal na my partner s......l heee! leo ndo nimeona kuwa majina yetu yanaanza na herufi sawa na yanaishia na herufi sawa. Tuta appear kama haloweeens party tutahide id zetu so as to maintain the anonymity.

Ila nivea umenifurahisha sana, wanaume wanawivu mno wala mahari aliyotoa haimsumbui mumeo anakupenda usimtoroke utaharibu ndoa we hii party ishiriki kwa simu yako tuu ukiwa home au kwa laptop yako usipoweza kumuaga na kupewa ruhusa, kuliko uje kesho yake na msaada wa ushauri wa matatizo ya ndoa bora ushiriki ukiwa home kwako.

Labda ombi pia kwa Lara 1 na gfsonwin kama waandaaji wa party hii kungekuwa na mtu ambaye atakuwa anarusha matangazo hapa na kuelezea matukio ya jinsi party inavoendelea ili hata kwa walio nje ya nchi na nje ya jiji la Dar waweze kushiriki kwa kuchangia na kupata utamu wa party hiyo, kama vile unavofanyaga ile MMU EXCLUSIVE LIVE na watu full kujimwaga ila camera zisiruhusiwe maana kama tunaruhusiwa kujiachia tafadhali mkiruhusu kamera mjue jumatatu yake MMU itajaa waomba ushauri kuliko watoaji ushauri.

Nawakilisha, pamoja sana.
 
hahahahahaha wenzako wanajua kupenda sio kufuga hahahaah kwangu kawaida tu.as long asa napata kila kitu.ukichelewa mahali unakuta kibao mlangoni COMING AT LATE HOURS IS ILLEGAL

Hebu twende taratibu kwanza...hiyo late hours ni muda gani haswaaa....??? Hili tatizo lazima nihakikishe nalisolve hata kwa kusimamisha saa zote za BABA NANIHIII!!
 
shaka ondoa babu wala usijali mm ndiye logistics manager na nina ratibu kazi yote mpaka atakaye taka kurudidhwa kwao mm nitamrudisha lol! na wote wataondoka salama salmini shaka ondoa kabisa.


Sasa mbona hadithi zao zote ni za kukimbilia kujificha vyumbani kama vifaranga wa kuku?

Wewe ndo umeruhusu hayo ma kitu???

Kwenye trip yetu Ta hatukuruhusu watu kutia najisi nia yetu njema ya kuwa pamoja....

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom