MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

we mtoto mbona mpana ka gaguro la bi Mtunyungu!?!?!?
tena wewe ntakuletea pon pon manake una mchezo mbaya sana wewe!

embu kausha hukoooo....ukojeeeeee?!



Anko Ruttaaa.......read btn th lines....
 
He! he! heeeee! Akya nani patachimbika!! Lara1,gfsonwin,ciello,madame B,na wengineo?! je, katrina na karucee watakuwepo?
 
itabidi mchingaji na sheikh waombee kabla ya huu mtanange kuanza! i can smell blood from far away! lol

haswaaaaaaa............manake mhhuuuu

hujambo mamito! upo kimya kama nini sjui! missing you a lot! cacico
 
Last edited by a moderator:
nipo mpendwa! Ni majukumu tu, nitafurahi kukuona tena on that day, tuombe uzima na siha njema!

na iwe hivyo mamito!!! ila mi sjui nakuja na nani vileeee...........ngoja ntakumbuka badae....
 
na iwe hivyo mamito!!! Ila mi sjui nakuja na nani vileeee...........ngoja ntakumbuka badae....
njoo utampata wa kukutuliza! Mi nitabeba kabisa ted bear langu la barney, Asprin asipokuja, basi nitakumbatiana na bear langu tu. Nukta!
 
Last edited by a moderator:
Am very sad.....
Gudevening to all
 
nini nachanganyia na gin... da gfsonwin kasema zitakuwepo! afu utoto/utu uzima si kinywaji unachotumia ni.... Nicas Mtei anayajua aya mambo!!!

Hahahahahahahahahahah

HAhah ushawasikia wenyewe 'watu wazima' wansema hakuna soda eti...ntakuja na togwa kutoka home! kwani mi si nakuja ku:majani7::cheer2: tu!!!
hahahahahahahahahahahaha
soda zipo bhna hata azam cola
mwal gfsonwin alini ahidi!
 
Last edited by a moderator:
Shukrani kwa mwaliko mnono sema sitafika kwa vile niko mbali kidogo. Nina udhuru na nadhani mtanisamehe hata hivyo nitamiss huo mnuso wa nguvu binti yangu. Mbarikiwe na mfaidi mwaka mpya.
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!

Yah! Yah! Yah! Peopleeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Najua mmeingia humu kutoa ushauri na nini ila mwaka kabla haujafika katikati ni vema kwanza tukapongezana wana MMU wote Wapya, Wazamani na nyie Guest msioisha kuchungulia humu! kwa ushauri mzuri tunaopeana, Makavu live tunayopeana, Stress tunazopunguziana, na vituko vyote na mabobish bobish tu ya hapa na pale!!!!!! Kila mtu ana umuhimu humu, na hata akipungua mmoja it will never be the same kwenye Lafamillier!!!!!

Haipendezi mtu unakuja humu kushauri shauri na nini alafu kwenye mijumuiko ya kuonana unajikaushaaa! Haihuuuuuuu kabisa hiyo!!!!!!! Nishasema HAKUNA ALIE MSAFI sasa wasiwasi wako nini???????? Acha mambo zako kabisaaa!!!!!! Njooni wote tujumuike na kufurahia NEW YEAR!!!!!!!!!!!!

Mama gfsonwin, The Teacher!!! jamani kajitoaaaaa KUMAKE THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!!! Kwa ufadhili mnono anakuleteeni THE ONE AND ONLY JF WHITE PARTY!!!!!!!!!!! Party of all Parties!!!!!!!! Usibonyezeeee kabisaaaaaa!!!! Pati la kukaribisha 2013 at MMU!!!!!!!!! kwa KAUCHAKAVU KADOGO TU KA 20,000/= Food and beverages inclusives!!!!! Khaaaaaaaa!!!!!!!
Watu CLASSIC tu, na mambo ya Kiutuuzima zaidi pale KEBBYS HOTEL!!!!!!! 26/1/2012 (Under 18 msije mda wenu bado!!!!!)

Mambo ya Ukweli na Uhakika!!!!!!!! Totoz za Jf zote ndani in FULL WHITE!!!!!!!!! Pale Ciello (Katoka Chugga special for the party jinsi alivo party people)!, amu, Surprise, Lara 1(Transfer langu la Mwanza silishughulikii ni kujipanga na Party tuu), Evelyn Salt, Smile, Kipipi, Madam B, Kaunga, Preta, sakapal na Kamsweetie na wengine KIBAOOOOOOO!!!!!! Tushatoa RESERVATIONS zetu VIP karibu na Max na Mike (Ukichagua nyama chagua iliyonona!) HAPANA CHEZEYA KABISAAAA!!!!!!!!!

Wakaka nao ndo usisemeeee! The Boss, Mkatakiu, Nicas Mtei, Baba V, Asprin (anaendeleza ukaguzi wake), Prisoner 46664 (Patachimbika mbonaaa), Zogwale, Mtambuzi, SnowBall (Ana hazina ya box huyu si wakcheza nae mbali!, Father of All, watu8 (Anakuja kwa raha leo!) Mazabzab nae anaendeleza ugegedaji katokea Tanga special kwa hii shughuli!!!!!!!!

ITS GONA BE BANANASSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PEOPLE SHOW SOME LOVE TO gfsonwin!!!!!!!!!! KUJENI KWA PARTY!!!!!!!!!! SI YA KUKOSA AISEEEEEE!!!!!!!!! PM GFSOMWIN FOR RESERVATIONS!!!!!!!! Nafasi ni chache nishasema kitu Classic kile!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom