MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

Kwa haya maandalizi ya akina Madame B na wenzake....

Sina hakika kama kutakuwa na uhai tena baada ya hiyo party...

Itakuwa kama naptual flight ya kumbi kumbi....

Babu DC!!

We Babu DC Dark City unanitakia nini mimi mjukuu mwenye Adabu????
Hiyo Party nilitaka uwepo ili nikuchore unavoyarudi magoma motto kama ya yule Dereva wako.
 
Last edited by a moderator:
hivi ujue Tanga ulinichora ila hukujua?

Unajua kuchora sana. 🙂

bangi nimeacha kabisa, mwaka jana kale katoto ka Madame B kalisema unahitaji kuchangamshwa.

Tanga unapajua wapi wakati ulikuwa umefichwa unapewa kipigo cha mbwa mwizi???

Hako katoto kaache, siku hizi kamefanyiwa kitubio....

Si unaona baada ya kutoka Tanga kameacha bhange zote kabisa...siku hizi ni mtoto mzuri anaitwa Madame B....

Tumeshamtibu kila kitu including tetenus!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
lara 1,
Kwa sasa nipo PUERTO RICO, BARBADOS na DOMINICA, VENEZUELA nakusanya Warembo wa kuwashusha siku hiyo....mpaka sasa Vyuo vikuu vya urembo huku vishanipa warembo kama 50, utaratibu wa safari unaendelea...
Halafu siku hiyo nitakua na patna Kipipi kunogesha kwa show ya nguvu ya SALSA, TANGO na RHUMBA....mimacho itawatokaje wacheza KIWAZENZA!!!

we nawe, sa warembo wa chuo wawaleta wa nini, watuletee competition tu
 
hivi ujue Tanga ulinichora ila hukujua?

Unajua kuchora sana. 🙂

bangi nimeacha kabisa, mwaka jana kale katoto ka Madame B kalisema unahitaji kuchangamshwa.

afu mi nilikuona Kongosho TA ila nikakausha,
Bangi nzuri ukiwa na mawazo ya kutafuta Pesa,
Babu yetu DC mwenyewe,sijuiiiiiii............. kama :majani7: , maana Moja haikai-mbili hazisimami.
 
Last edited by a moderator:
he he he, usiniambie babu ni dokta wa tetenasi?

Tanga hukuona mtu mreefu kama watu8?

Tanga unapajua wapi wakati ulikuwa umefichwa unapewa kipigo cha mbwa mwizi???

Hako katoto kaache, siku hizi kamefanyiwa kitubio....

Si unaona baada ya kutoka Tanga kameacha bhange zote kabisa...siku hizi ni mtoto mzuri anaitwa Madame B....

Tumeshamtibu kila kitu including tetenus!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa haya maandalizi ya akina Madame B na wenzake....

Sina hakika kama kutakuwa na uhai tena baada ya hiyo party...

Itakuwa kama naptual flight ya kumbi kumbi....

Babu DC!!
hivi babu una underestimate uwezo wa mwl ama nn??
 
Tanga unapajua wapi wakati ulikuwa umefichwa unapewa kipigo cha mbwa mwizi???

Hako katoto kaache, siku hizi kamefanyiwa kitubio....

Si unaona baada ya kutoka Tanga kameacha bhange zote kabisa...siku hizi ni mtoto mzuri anaitwa Madame B....

Tumeshamtibu kila kitu including tetenus!!

Babu DC!!

Si baada ya tukio ka Chumvini Babu............Unafikiri ilikuwa bure????
Hako kajukuu kako Kongosho kenyewe jana nimekafuma chimbo kanasokota Msuba m-bichi,
Afu unamwamini anaposema kuwa ameacha , Ooohooooooooooo.....!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Akha Mentor bado ni Under the Age of 18........!!!!!!!!!!1
Hivyo Couple na Booking ya Chumba itakuwa ngumu kwake.

Hivi kumbe huyu ni chalii eenh...under 18 wote wamewekewa ukumbi wao huko watakua na DISCO TOTO, kuruka kamba, KUFUKUZA KUKU na kuchora TATTOO
Ndipo pale watakumbuka maneno yale tulikua tunawaambia huku MMU waache utoto...
 
Last edited by a moderator:
Haaa! dada gfsonwin njoo mwambie huyu mtu mtoto ni gwin na godi!!!!

Nice to hear dat... 'mwanaume wa kweli' zitakuwepo ama tuje na zetu!?? khe khe kheeee....

Ndo yaleeee ya kaka Mtambuzi na mwalimu snowhite kusindikizana msibani!!!

mdogo wangu sitak kuskia hii habari ya wewe kuwa mkubwa lol!
wasije wakakukuza bure kwa nyembe zao za gillet wakati wewe hata hujui mataumiz yake sawa?
 
We Babu DC Dark City unanitakia nini mimi mjukuu mwenye Adabu????
Hiyo Party nilitaka uwepo ili nikuchore unavoyarudi magoma motto kama ya yule Dereva wako.

Siku hizi kwa kweli una adabu isipokuwa unatakiwa kuacha tabia ya kulowea lile jukwaa la picha zenu za ajabu ajabu, kule downstairs!!

Hivi mangoma ndo nini?

Kama una maana ya muziki, basi mie kucheza ni kawaida yangu....

Kama unataka ushuhuda basi wasiliana na mwenyekiti PakaJimmy na mzee mwenzangu Blaki Womani...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe huyu ni chalii eenh...under 18 wote wamewekewa ukumbi wao huko watakua na DISCO TOTO, kuruka kamba, KUFUKUZA KUKU na kuchora TATTOO
Ndipo pale watakumbuka maneno yale tulikua tunawaambia huku MMU waache utoto...

Swadaktaaaaaaa............,
Afu wewe unakuja na nani?
Maana naona rafu zimezidi.
 
Time yako ya kurejea nyumbani on Sat's ni muda gani....najitolea kukurush home kwako hata kama ni saa 2 usk, watu8 anataka uwepo

utanifikisha ila ukiondoka ntanuniwa mbaya ,juzi nilichoropoka nikaenda harusi ya shost wangu kurudi kilichoendelea najua mwenyewe,.tatizo zile mahari alizotajiwa alilipa zote pale pale hahahahah
 
we nawe, sa warembo wa chuo wawaleta wa nini, watuletee competition tu

NAMI ndio nataka hiyo COMPETITION yaani nashusha troop ya vigoli kama wale wa PARTY ZONE ya AY au P'I'M'P ya G-Unit....
 
utanifikisha ila ukiondoka ntanuniwa mbaya ,juzi nilichoropoka nikaenda harusi ya shost wangu kurudi kilichoendelea najua mwenyewe,.tatizo zile mahari alizotajiwa alilipa zote pale pale hahahahah

Khaaa....nina wasiwasi wanawake wengine sio kuwa mmeolewa bali mnafugwa.
 
Haaa! dada gfsonwin njoo mwambie huyu mtu mtoto ni gwin na godi!!!!

Nice to hear dat... 'mwanaume wa kweli' zitakuwepo ama tuje na zetu!?? khe khe kheeee....

Ndo yaleeee ya kaka Mtambuzi na mwalimu snowhite kusindikizana msibani!!!

Jamani Mentor, hivi umesahau kwamba kule kwenye chimbo la miwa ule mwezi wa Msiba ulikuja na chupa ya nyonyo!!!!!
Sasa niambie umekua lini?
 
Last edited by a moderator:
NAMI ndio nataka hiyo COMPETITION yaani nashusha troop ya vigoli kama wale wa PARTY ZONE ya AY au P'I'M'P ya G-Unit....

una lako jambo c bure, na uzee huu wakija hao tutaonekana kweli
 
Back
Top Bottom