MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

Madam B mimi nipo available yeyote mwenye mtanzanite kama Bishanga nifanyie booking...
Hope you know what i mean
 
Last edited by a moderator:
hivi manoah anakuja na nani kwa hii party?!?!? eti mamake mtu gfsonwin?!?

weeeeeeeeee usikmkuze my swt son manoah atiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! haji na mtu na mm mama yake nitahakikisha karudi salama lolest!!

swt son manoah nimekumiss sana sana sana. mwambie na kaka yako Ronn M kuoa asinisahau hata kwa kitenge cha wax lolz!!
 
Last edited by a moderator:
nini nachanganyia na gin... da gfsonwin kasema zitakuwepo! afu utoto/utu uzima si kinywaji unachotumia ni.... Nicas Mtei anayajua aya mambo!!!

HAhah ushawasikia wenyewe 'watu wazima' wansema hakuna soda eti...ntakuja na togwa kutoka home! kwani mi si nakuja ku:majani7::cheer2: tu!!!

G&T zitakuwepo dogo langu la ukweli. but unakumbuka vyema maneno ya mzee lol!
nakupenda ma lito bro.
 
Karibu sanaaa! Mchngo jst PM gfsonwin atakupa maelekezo! Prtner wa nini na sie tupo teleeeee!!!!!!!!!!!!!!

nilidhani ni moja ya kigezo maana hicho kigezo bado napungukiwa nacho......kuhusu mchango basi ntawasiliana nae baadae leo....
 
hiyo tarehe nikiwa huko nami ntajumuika sasa sijui mchango unafikaje?..... kuwa na partner ni lazima?
mkuu karibu sana kuwa na partner sio lazima hio ni changamsha genge tu, lkn mchango wako udondoshe kwa Mtambuzi mtumie pm atakupa maelekezo.
 
Last edited by a moderator:
njoo utampata wa kukutuliza! Mi nitabeba kabisa ted bear langu la barney, Asprin asipokuja, basi nitakumbatiana na bear langu tu. Nukta!
Hivi wifey, nnani aliyekuambukiza hili pepo la mie kutokuja? Hilo bear liambie libaki hukohuko nyumbani. Mi nna wivu mpaka hata kwa midoli... khaa!!

"the problem is not me! the problem is you understading me!"
 
mtu kataja ukwaju huyo we bado wauliza....au mpaka aseme anahisi kichefu chefu na kutapika?? homa za asubuhi na anamchukia sana watu8

watu 8 siku hizi unakuwa haraka sana lolz! am afraid ujue?
 
Kwa mtindo ulivyo nahisi kujilinda maana naona kuna watu wanampigia mai waifu hesabu.
"
Nasema ole wao.
"
Dada yangu gfsonwin itabidi uniruhusu niingie na "shame" maana jinsi lilivyo naweza kumfyekea mbali mtu atakaejipendekeza.
"
Kongosho na fitna zake imekula kwake,mabatini kuna mafuriko sijui atawahije eapoti.
"
Kaunga mai waifu ujiangalie maana kuna vijitu vitajipendekeza,tusilaumiane mi nitatengeneza mtu rosti siku hiyo. . .Lol!
"
Nitalinoa "shame" vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wifey, nnani aliyekuambukiza hili pepo la mie kutokuja? Hilo bear liambie libaki hukohuko nyumbani. Mi nna wivu mpaka hata kwa midoli... khaa!!

"the problem is not me! the problem is you understading me!"

siku hiyo patachimbika manake nimeskia una mke mwingine unamtaka kwa hali na mali na uliyempa ushenga kaja kunidondoshea zigo unalo???
 
Kwa mtindo ulivyo nahisi kujilinda maana naona kuna watu wanampigia mai waifu hesabu.
"
Nasema ole wao.
"
Dada yangu gfsonwin itabidi uniruhusu niingie na "shame" maana jinsi lilivyo naweza kumfyekea mbali mtu atakaejipendekeza.
"
Kongosho na fitna zake imekula kwake,mabatini kuna mafuriko sijui atawahije eapoti.
"
Kaunga mai waifu ujiangalie maana kuna vijitu vitajipendekeza,tusilaumiane mi nitatengeneza mtu rosti siku hiyo. . .Lol!
"
Nitalinoa "shame" vizuri!
 
Last edited by a moderator:
hapo ni mwendo wa abiria chunga mzigo wako lolz!!
Kwa mtindo ulivyo nahisi kujilinda maana naona kuna watu wanampigia mai waifu hesabu.
"
Nasema ole wao.
"
Dada yangu gfsonwin itabidi uniruhusu niingie na "shame" maana jinsi lilivyo naweza kumfyekea mbali mtu atakaejipendekeza.
"
Kongosho na fitna zake imekula kwake,mabatini kuna mafuriko sijui atawahije eapoti.
"
Kaunga mai waifu ujiangalie maana kuna vijitu vitajipendekeza,tusilaumiane mi nitatengeneza mtu rosti siku hiyo. . .Lol!
"
Nitalinoa "shame" vizuri!
 
weeeeeeeeee usikmkuze my swt son manoah atiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! haji na mtu na mm mama yake nitahakikisha karudi salama lolest!!

swt son manoah nimekumiss sana sana sana. mwambie na kaka yako Ronn M kuoa asinisahau hata kwa kitenge cha wax lolz!!
Hajakuambia ntakuja nawe mimi???Basi utazimia siku hiyo.. Jiwe Linaloishi amepotea na sijui yupo wapi hivo nipo single mpka atakaporudi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom