Majukumu tu yalinibana.. i missed you all.. especially ur husband.. "whoever it is Now"!you were missed.
What happened?
Nitavaa lile nguo la kitchen party.
you were missed.
What happened?
Nitavaa lile nguo la kitchen party.
Majukumu tu yalinibana.. i missed you all.. especially ur husband.. "whoever it is Now"!
Majukumu tu yalinibana.. i missed you all.. especially ur husband.. "whoever it is Now"!
Konnie bhanaa.. nimekumiss wajua...
dahhhh kumbe u hai lolz.. Vipi?? unaenda kujirusha The FinestAiseee!!
Aiseee!!
dahhhh kumbe u hai lolz.. Vipi?? unaenda kujirusha The Finest
Heri ya mwaka mpya babu . Tunafurahi kukuona babu yetu bado uko strong na unaendelea vizuri kabisa . tunazidi kukuombea baraka nyingi na maisha marefu kabisa babu.Duuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhh,
Kusema ma ukweli nimefurahi sana kuwaona nyie wajukuu.....
Nyie watu mmepotea sana....kwa nini lakini??
Heri ya mwaka mpya kutoka kwa babu yenu...
Babu DC!!
Heri ya mwaka mpya babu . Tunafurahi kukuona babu yetu bado uko strong na unaendelea vizuri kabisa . tunazidi kukuombea baraka nyingi na maisha marefu kabisa babu.
Ahsante sana kwa salamu na nimefurahi sana kukuona hapa hapa jukwaani....
Haya mpe babu majibu...kwa nini mnapotea nyote....
Halafu mnarudi pamoja...mlikuwa mnacheza ile michezo yetu ya 1947 ya kujificha......lol??????!!!!
Babu DC!!
Ndio nakusaidia kumkuza ...huyo Jiwe Linaloishi hata akija itabidi akae pembeni..buking ya msimu wa sikukuu ilishaisha kitambo...
Hajakuambia ntakuja nawe mimi???Basi utazimia siku hiyo.. Jiwe Linaloishi amepotea na sijui yupo wapi hivo nipo single mpka atakaporudi