gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Nitaoa mutu roho aisee . .Lol!
hahahaahhh! wahi fast jet mapemaaaaaaaaaaa halafu ukae pembeni uchore watu lol!
Nitaoa mutu roho aisee . .Lol!
watu 8 siku hizi unakuwa haraka sana lolz! am afraid ujue?
hahahaahhh! wahi fast jet mapemaaaaaaaaaaa halafu ukae pembeni uchore watu lol!
Kwakweli itabidi mfanye kazi ya ziada!!Nitamuomba Elizabeth Dominic apige maombi yule shetani wa kudoeana ashindwe na alegee
"
Lazima tufunge kwaajili ya wazee wa kucheat akina Asprin . . .Lol!
mtu kataja ukwaju huyo we bado wauliza....au mpaka aseme anahisi kichefu chefu na kutapika?? homa za asubuhi na anamchukia sana watu8
Unataka kunivunjia ndoa yangu na cacico ujue? Afu nikuwowe wewe au? Uzuri wa cacico kaniruhusu nioe mitala so huyo binti mwambie ajiandae kwa threesome lol Hebu nisalimie amu bana au kama una namba zake nitumie nijaribu bahati yangu:becky::becky:siku hiyo patachimbika manake nimeskia una mke mwingine unamtaka kwa hali na mali na uliyempa ushenga kaja kunidondoshea zigo unalo???
namtoroka Paw nakuja mwenyewe. Afu staki partner wa kuchagu nsijekuta kimeo. Ntachagua mgosi hapo hapo. Ila namuwaza sana Asprin. Ana mahela eeh?JAMANI KWA WALE WOOOOOOOOOOOOTE WENYE MAPARTNER, MIMI NAANDIKISHA MAJINA,
UNAKUJA PM UNANIAMBIA PARTNER WAKO NI NANI NA KAMA MTALALA SIKU HIYO AU VP,
Tunaepuka kunyang'anyana Mapartner Siku
Mimi Partner wangu siku hiyo ni Bishanga na wa Emergency ni CHAI CHUNGU a.k.a Mjeda, na story zake za Mpaka usiku wa Manane
Kwakweli itabidi mfanye kazi ya ziada!!
Hili swali ungeliulizia PM, waganga njaa na wanga watazua ya kuzua ujue.....:becky::becky::becky::becky::becky:namtoroka Paw nakuja mwenyewe. Afu staki partner wa kuchagu nsijekuta kimeo. Ntachagua mgosi hapo hapo. Ila namuwaza sana Asprin. Ana mahela eeh?
namtoroka Paw nakuja mwenyewe. Afu staki partner wa kuchagu nsijekuta kimeo. Ntachagua mgosi hapo hapo. Ila namuwaza sana Asprin. Ana mahela eeh?
Hahaha wala usiwe na wasiwasi sistooo....haya yote nimesoma kwenye notes za Baioloji
Ndio nakusaidia kumkuza ...huyo Jiwe Linaloishi hata akija itabidi akae pembeni..buking ya msimu wa sikukuu ilishaisha kitambo...Jiwe Linaloishi yupo na nitamwambia unamtosa mazima lol! mwanangu manoah hajakuwa bado ndo kwaza balehe ya kwanza.