amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,358
salamu zimefika halafu namba kakubania kukupa looo
+255780000004 call me any time baby..
Last edited by a moderator:
Tupo pamoja Lara 1, ila hilo la wewe kuja na jina lingine ili tusikutambua sijaafikiana nalo, kwa nn lara ufanye hivyo? unaogopa nn? ili mradi unachoandika hapa ni kweli na hakimuumizi mtu, na mara nyingi hutufundisha jinsi ya kuishi na watu, sioni sababu ya wewe kubadilisha jina uje kivingine.
MM labda nikose nafasi lakini kwa mapenzi ya Mungu nikiwa hai, na afya njema kwa kweli nitakuja na nitaandika jina langu hili hili Lisa.
Ahsante lara 1 kwa kukumbusha lakini humu watu wanachonga sana lakini michango hawatumi.
Mpaka sasa nina vichwa 11 tu, wengine wamepiga kimya, hebu tumeni michango yenu fasta kwa Tigo Pesa 0715 729292 au M Pesa 0715 729292
Nasubiri michango yenu.
Pamoja Daima
Nitamuomba Elizabeth Dominic apige maombi yule shetani wa kudoeana ashindwe na alegee
"
Lazima tufunge kwaajili ya wazee wa kucheat akina Asprin . . .Lol!
Nipo hapa Tanganyika Dar to be specific, but of a truth I do not know where this Kebby's thing is, hence the request
Lisa hujambo mama? Naendelea kusubiri ule mwaliko wetu.
Hapa tunadiskasheni nini? CHAI CHUNGU yupo hapa pia?
kwahiyo sie tusiotajwa ndo ma underground au vipi...? kama vipi waje uliowataja tuu...kiiiilaaaa siku mnatajana mnao juana tu nyie vipi..kama vipi toa thread bila kuweka majina...alaaaaaah namna gani wewe....bhana...kha....
Itakua pale kwenye garden au ndani ya hotel?Kebbys is at Mwenge , Time itakuwa evening. Karibu sanaaa!
Nabii hakubaliki nyumbani kwao, asema Yesu wa Nazarethi.Katika Machaka yooooote ambayo umewahi kuingia, Basi hilo ni chaka la Miiba na Mwashawasha. Asprin hana hela yoyote, magumashi tu mjini hapa.
Wewe njoo nitakupa kaka yangu Mfungwa mwenye Namba ya Mandela ya Jela.
Kwa sababu mimi nakaa maeneo ya mwenge nimejitolea malazi kwa wadada wawili bureeeeeeeeeeeee
Siku hizi kwa kweli una adabu isipokuwa unatakiwa kuacha tabia ya kulowea lile jukwaa la picha zenu za ajabu ajabu, kule downstairs!!
Hivi mangoma ndo nini?
Kama una maana ya muziki, basi mie kucheza ni kawaida yangu....
Kama unataka ushuhuda basi wasiliana na mwenyekiti PakaJimmy na mzee mwenzangu Blaki Womani...
Babu DC!!
Kaka mpendwa Kaizer nifadhili tiketi ya fastjet na miye nina hamu ya kufika
usijali kaka Kaizer , ikifika nitakujulisha.
Hakuna jazba...point imefika...no homo...Acha jazba mkuuuu! Msiotajwa ni VIP hao waliotajwa ni viherehere so kwa kutokutajwa jua umeheshimiwa sana!
Mentor Mentor
Kaizer umeadimika mpka nataka kukusahau sura ujue!Hilo tu sema jingine Elizabeth Dominic......hujambo lakini?