MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

Katika Machaka yooooote ambayo umewahi kuingia, Basi hilo ni chaka la Miiba na Mwashawasha. Asprin hana hela yoyote, magumashi tu mjini hapa.
Wewe njoo nitakupa kaka yangu Mfungwa mwenye Namba ya Mandela ya Jela.

mndele bora umenistua aisee wa poti. Yaani ningekomaje! Huyo prisoner muambie aje na kadi ya kuchanja, fungulia dogi ikibamba tunaenda zetu serena hotel.
 
Last edited by a moderator:
Hili swali ungeliulizia PM, waganga njaa na wanga watazua ya kuzua ujue.....:becky::becky::becky::becky::becky:

unalo babu wewe. Ndo sikutaki naskia unakopaaa. Siku hizi kabla ya kutembea na mume wa mtu tunamuuliza mkewe. Nani anataka kuingizwa mjini na ukimwi upo hadi kwenyw maji ya uhai! Ukiniona kwenye paryy usinisalimie.
 
unalo babu wewe. Ndo sikutaki naskia unakopaaa. Siku hizi kabla ya kutembea na mume wa mtu tunamuuliza mkewe. Nani anataka kuingizwa mjini na ukimwi upo hadi kwenyw maji ya uhai! Ukiniona kwenye paryy usinisalimie.
Afazali umenipunguzia foleni:becky::becky::becky::becky::becky:
 
shosti nshafanikiwa kununua kiwalo, japo top dress ya linen. Skintite ntachakachua tu. Najichanga nilete mchango, si unajua namtoroka hazbend. Mchezo wa kibati zamu yangu inakuwa wknd hii.

mwali kazi ipo na hili shepu la kabati linen itakaa basi?? hapa naenda kusaka bazee white lol! siunajua mm ni mbibi.
 
Ahsante lara 1 kwa kukumbusha lakini humu watu wanachonga sana lakini michango hawatumi.
Mpaka sasa nina vichwa 11 tu, wengine wamepiga kimya, hebu tumeni michango yenu fasta kwa Tigo Pesa 0715 729292 au M Pesa 0715 729292

Nasubiri michango yenu.

Pamoja Daima
 
Last edited by a moderator:
mama mie nalala. Usiku Mwema, na Mungu Mwenyezi akubariki na kukuzidishia mapenzi kwa watoto wako na jamii nzima. Nakupenda sana mama

Good son. love you too.
good night too ma son, and may glorious spirit of god be upon you as you pray today's night
 
Ahsante lara 1 kwa kukumbusha lakini humu watu wanachonga sana lakini michango hawatumi.

Mpaka sasa nina vichwa 11 tu, wengine wamepiga kimya, hebu tumeni michango yenu fasta kwa Tigo Pesa 0715 729292 au M Pesa 0715 729292

Nasubiri michango yenu.

Pamoja Daima
 
Last edited by a moderator:
Ahsante lara 1 kwa kukumbusha lakini humu watu wanachonga sana lakini michango hawatumi.
Mpaka sasa nina vichwa 11 tu, wengine wamepiga kimya, hebu tumeni michango yenu fasta kwa Tigo Pesa 0715 729292 au M Pesa 0715 729292

Nasubiri michango yenu.

Pamoja Daima
Usijali Mtambuzi tutatuma..hatuwezi kukulet down....
Pamoja saana sosi : AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!

Yah! Yah! Yah! Peopleeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Najua mmeingia humu kutoa ushauri na nini ila mwaka kabla haujafika katikati ni vema kwanza tukapongezana wana MMU wote Wapya, Wazamani na nyie Guest msioisha kuchungulia humu! kwa ushauri mzuri tunaopeana, Makavu live tunayopeana, Stress tunazopunguziana, na vituko vyote na mabobish bobish tu ya hapa na pale!!!!!! Kila mtu ana umuhimu humu, na hata akipungua mmoja it will never be the same kwenye Lafamillier!!!!!

Haipendezi mtu unakuja humu kushauri shauri na nini alafu kwenye mijumuiko ya kuonana unajikaushaaa! Haihuuuuuuu kabisa hiyo!!!!!!! Nishasema HAKUNA ALIE MSAFI sasa wasiwasi wako nini???????? Acha mambo zako kabisaaa!!!!!! Njooni wote tujumuike na kufurahia NEW YEAR!!!!!!!!!!!!

Mama gfsonwin, The Teacher!!! jamani kajitoaaaaa KUMAKE THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!!! Kwa ufadhili mnono anakuleteeni THE ONE AND ONLY JF WHITE PARTY!!!!!!!!!!! Party of all Parties!!!!!!!! Usibonyezeeee kabisaaaaaa!!!! Pati la kukaribisha 2013 at MMU!!!!!!!!! kwa KAUCHAKAVU KADOGO TU KA 20,000/= Food and beverages inclusives!!!!! Khaaaaaaaa!!!!!!!
Watu CLASSIC tu, na mambo ya Kiutuuzima zaidi pale KEBBYS HOTEL!!!!!!! 26/1/2012 (Under 18 msije mda wenu bado!!!!!)

Mambo ya Ukweli na Uhakika!!!!!!!! Totoz za Jf zote ndani in FULL WHITE!!!!!!!!! Pale Ciello (Katoka Chugga special for the party jinsi alivo party people)!, amu, Surprise, Lara 1(Transfer langu la Mwanza silishughulikii ni kujipanga na Party tuu), Evelyn Salt, Smile, Kipipi, Madam B, Kaunga, Preta, sakapal na Kamsweetie na wengine KIBAOOOOOOO!!!!!! Tushatoa RESERVATIONS zetu VIP karibu na Max na Mike (Ukichagua nyama chagua iliyonona!) HAPANA CHEZEYA KABISAAAA!!!!!!!!!

Wakaka nao ndo usisemeeee! The Boss, Mkatakiu, Nicas Mtei, Baba V, Asprin (anaendeleza ukaguzi wake), Prisoner 46664 (Patachimbika mbonaaa), Zogwale, Mtambuzi, SnowBall (Ana hazina ya box huyu si wakcheza nae mbali!, Father of All, watu8 (Anakuja kwa raha leo!) Mazabzab nae anaendeleza ugegedaji katokea Tanga special kwa hii shughuli!!!!!!!!

ITS GONA BE BANANASSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PEOPLE SHOW SOME LOVE TO gfsonwin!!!!!!!!!! KUJENI KWA PARTY!!!!!!!!!! SI YA KUKOSA AISEEEEEE!!!!!!!!! PM GFSOMWIN FOR RESERVATIONS!!!!!!!! Nafasi ni chache nishasema kitu Classic kile!!!!!!!!
Can I please know the timings for the said party, where is this Keby's?
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo sie tusiotajwa ndo ma underground au vipi...? kama vipi waje uliowataja tuu...kiiiilaaaa siku mnatajana mnao juana tu nyie vipi..kama vipi toa thread bila kuweka majina...alaaaaaah namna gani wewe....bhana...kha....
 
kwahiyo sie tusiotajwa ndo ma underground au vipi...? kama vipi waje uliowataja tuu...kiiiilaaaa siku mnatajana mnao juana tu nyie vipi..kama vipi toa thread bila kuweka majina...alaaaaaah namna gani wewe....bhana...kha....

jamani Lyamber njoo najitolea kukupa kampani hasira za nini baba???
We njoo amu atakuwa na wewe
 
Last edited by a moderator:
Upo nchi gani mkuu...??? tuanzie hapo kwanza
Nipo hapa Tanganyika Dar to be specific, but of a truth I do not know where this Kebby's thing is, hence the request
 
I wish I was there to take part in this golden chance to meet and see the wonderful JF-MMU people who always make every minute of my life the most memorable and meaningful one, but its unfortunate that I am too far miles away from there. Wish every best of luck and happy moments for those who are going to participate. have a lot of fun guys
 
Back
Top Bottom