MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

avatar39766_9.gif

Babu Dark City unamaanisha mchezo huu!???

Huo ni upi Mentor? Mbona mimi siuelewi?

Sie michezo yetu ya 1947 haikuwa na picha...ila tunaweza kuielezea vizuri hadi leo bila msaada wa audio visual tools...!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

sie tuliuita kibaba na mama...watoto wakalale wakubwa wafanye matusi a.k.a tabia mbaya
 
Sisi wengine tulikuwa tunajificha tu...

Hata hivyo kuna wengine walipendelea sana kwenda in pairs za sex tofauti na kujificha penye giza giza au mbali na watu wengine... Sina hakika kama walikuwa wanafanya matusi au la...

But we enjoyed michezo yetu ya enzi hizo. Siyo kama siku hizi mitoto inaua macho kwenye PC na games za ajabu ajabu, nyingina hata hawajui maana yake!!

Babu DC!!
 
muuza ubuyu mimi bado sijapata company sasa unasemaje??????? Speak of the Devil and he will apear!!!!!!! Your worst fears are turing to a reality!!!!!!!! Haahahaaaaaaaaaa!!!!!!

Hahahahahahaaaaa, Lala 1 unaloooooooo! Nikikupa kampany mie utamuumiza mchaga bure kwa kumuacha make nitaziba nafasi yote ya upweke moyoni mwaka na wana JF washangae utakavyobadilika na comment zako!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Sisi wengine tulikuwa tunajificha tu...

Hata hivyo kuna wengine walipendelea sana kwenda in pairs za sex tofauti na kujificha penye giza giza au mbali na watu wengine... Sina hakika kama walikuwa wanafanya matusi au la...

But we enjoyed michezo yetu ya enzi hizo. Siyo kama siku hizi mitoto inaua macho kwenye PC na games za ajabu ajabu, nyingina hata hawajui maana yake!!

Babu DC!!

Mhhh namtwai babu...i think my era was th last one kucheza michezo hiyo...maana ndo ilikuwa inaishia zikaja game boy na brick game na kale kanani tena...kale MARIO!!!
 
Hahahahahahaaaaa, Lala 1 unaloooooooo! Nikikupa kampany mie utamuumiza mchaga bure kwa kumuacha make nitaziba nafasi yote ya upweke moyoni mwaka na wana JF washangae utakavyobadilika na comment zako!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

I dare you!!!!!!! Nataka nikuchune blackberry torch hivooo!!!!!!!!! Buyer be aware!!!!!! Kama unafanana na hiyo Avatar yako tuonane bwanaaaa!
 
Sikuwahi kuhisi kwamba hata wewe unaweza kunasa kwenye mtego mwepesi mwepesi kirahisi namna!

Ulishaona wapi watu wenye bidhaa za nguvu wakatumia pesa nyingi kwenye matangazo?

Changanya na zako lara 1!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Lara 1 hii party inabidi tuvae nguo nyeupe au..? Maana sie wengine tumeshakuwa simba wazee.. haya mambo ya vijana mh..
 
I dare you!!!!!!! Nataka nikuchune blackberry torch hivooo!!!!!!!!! Buyer be aware!!!!!! Kama unafanana na hiyo Avatar yako tuonane bwanaaaa!

MAkubwaaaa tena! Lala 1 kubwa la maadui a.ka get rich or die trying, bado sana mpaka walau ufikishe thirty hivi ndo nitajua sasa kwamba umekomaaa! Sasa hivi ungali teke teke! Halafu ujue mimi ndo boss wako uliyegomba naye, ohooo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
MAkubwaaaa tena! Lala 1 kubwa la maadui a.ka get rich or die trying, bado sana mpaka walau ufikishe thirty hivi ndo nitajua sasa kwamba umekomaaa! Sasa hivi ungali teke teke! Halafu ujue mimi ndo boss wako uliyegomba naye, ohooo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Acha wogaaaa! Now nimechange my tastee!!!!!!!!! I wana date older matured men who know what they are doing!!!!! Hawa vijana mambo mengi so! So it just happens you are older!!!!!! What a luck! Kubali fasta mimi sibembelezagi sanaaaa! Kama una mke semaaaa!!!!!!!!!!!
 
Hahahahahahahaaa Lala 1 sitaki mtu wa kumfundisha mimi ukishajua we nistue but not now Lala 1! Okey best? Ila kichwa chako kipo tupu wewe itabidi nikutafute ili nikukanyate atii, lol! Mtoto wa mwenzio wako bhana!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaaa Lala 1 sitaki mtu wa kumfundisha mimi ukishajua we nistue but not now Lala 1! Okey best? Ila kichwa chako kipo tupu wewe itabidi nikutafute ili nikukanyate atii, lol! Mtoto wa mwenzio wako bhana!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Muuza ubuyu acha kunibania huo UBUYU wako banaaa! Kwanza husemi marital status yako unazugazuga tu! Pili hueleweki eleweki unachonikwepa ni nini? Golden chance never comes twice! Shauri lako!!!!!!!!
 
Mie dume Lala 1 na naeleweka bwana sema nataka uendelee kuutunza usichana wako bhana, ebooo! Hahahahaaaaaa! My friend lala 1! Lol! Kwanza we tukionana unasinyaaaaa kama si wewe vile, na ulivo muoga! Ujasiri wako upo kwenye keyboard tu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wapi Evelyn Salt???? Hebu kuja kwa PM nkupe umbea.... Unalikumbukaa lile Pedeshee la siku ile ???? Mwenzio lishankatia ticket ya fastjet... Ka vipi nipotie twende pamoja!!!!!!!!!"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom